Swali kwa waliomo kwenye ndoa

Swali kwa waliomo kwenye ndoa

Umeonaeee!
Wengi hupost kwa kutafuta suluhisho la tatizo!
Sidhani kama itasound mtu kuja kumsifia mke/mmewe humu!

Lengo siyo kumsifia mke wako/mume wako si unaona hapo juu Balali alivyochanganua vizuri hajamsifia mtu hapo, hata hivyo unaona ni busara kuja kusema mabaya ya mkeo/mumeo kuliko mazuri?
 
Asante sana mkuu maelezo yako yameenda shule nina imani vijana tumepata kujua raha zilizomo na wengi huwa wanakimbilia huko kwa sababu wanajua watagegedana kwa uhuru bahati mbaya wanakuta ni zaidi ya kugegedana wanarudi wakilia huku waliingia kwa mbwembwe na kututisha wengine......

Kwani wazazi wako wamekuambiaje? tunajua maisha yanaanza ktk ngazi ya familia
 
Jamani mi nataka kusikia mchango wako tu mweh!

Duh! Haya bhana!
1-Akupende-mpendane!
2-uwe mvumilivu yeye awe muelewa!
3-MUWE NA PESA!
Hapa kiramani mtakua duniani but kimapenzi mtakua peponi!
......
Hahahahahahahaaaaaa....!
 
Kwani wazazi wako wamekuambiaje? tunajua maisha yanaanza ktk ngazi ya familia

avatar150879_1.gif

Hapo sasa SOCIOLOGISTTZ Avata yako inamchangogani kwenye mada hii ndugu yetu?
 
Last edited by a moderator:
Duh! Haya bhana!
1-Akupende-mpendane!
2-uwe mvumilivu yeye awe muelewa!
3-MUWE NA PESA!
Hapa kiramani mtakua duniani but kimapenzi mtakua peponi!
......
Hahahahahahahaaaaaa....!

Roho yangu kwaaaaa........tuuuuuuu.
 
habari wana mmu,ni matumaini yangu mu wazima wa afya njema kwa ambao hawako sawa mungu awajalie afya njema.....................................................

Turudi kwenye maada, imekuwa ndiyo kasumba ya sasa kwa waliomo kwenye ndoa kutosema mazuri ya huko na baadala yake wamekuwa wamekuwa wakisema mabaya tu mfano mzuri ni humu ndani threads nyingi zimekuwa za kusema machungu tu yanayopatikana huko manyanyaso,kutotendeana haki na mengine mengi lakini kwenye kiapo cha ndoa kuna sehemu inasema nitampenda na kumtunza kwenye shida na raha lakini mbona hizo raha mnazopata huko hamzisemi,shida tu ndiyo mnatujuza? Swali:-

1.mnataka kutuambia kuwa huko hakuna raha zaidi ya shida?

2.kama zipo mbona hamleti thread za utamu wa ndoa ili tuwatamanie?

3.je ni kugegeda/kugegedwa tu au kupata watoto ndiyo raha? Na kama kugegeda na kuwa na watoto ndiyo raha wapo ambao tunagegeda/kugegedwa na tuna watoto lakini hatuko ndani ya ndoa......

Wakati huohuo mnakuja na thread za athari za kuchelwa kuoa/au kuolewa sasa hiyo morali ya kuoa au kuolewa inatoka wapi wakat nyie hamtuambii raha mnaleta matatizo tu tena usiombe mtu kaingia akakuta kwa moto akatoka hata kama ulikuwa kwenye process za kuingia utafunga break kwanza..............................

Hii inasababisha vijana wengi tujiwekee qualifications nyingi za kupata wenza mara ooh sitak umiza kichwa tumesahau kuwa huwezi kumpata ambaye haumizi kichwa unless ziwe zimepungua kidogo kichwani.
Haya karibuni mtwambie jamani..........

newtons thrid law
every action there is equal and opposite reaction
 
2.Kama zipo mbona hamleti thread za utamu wa ndoa ili tuwatamanie?
TUTAKE RADHI KIJANA KWETU PEMBA KUTUTAMANI NI LAANA KUBWA TAFADHALI MOD NTUMIE UJUMBEKWA KIJANA
 
avatar150098_1.gif

[MENTION]Mashaxizo [/MENTION]Naona hii avata pia inamchango mahususi kwenye mada hii assume ni bibi na bwana

hawa watakuwa kiramani dunian na kimapenzi peponi? niko wrong .... hebu nisaidie! hahaha..
 
Roho yangu kwaaaaa........tuuuuuuu.

Hahahahahahahahaaa...!
Unashangaa nini sasa?
Furaha ya ndoa haiji natural! So ni jukumu lako kuitengeneza!
Hahahahaaaa!
Oweni tu vijana! Msiogope!
kwah! kwah! kwah! (mnisamee bure)
 
avatar150098_1.gif

[MENTION]Mashaxizo [/MENTION]Naona hii avata pia inamchango mahususi kwenye mada hii assume ni bibi na bwana

hawa watakuwa kiramani dunian na kimapenzi peponi? niko wrong .... hebu nisaidie! hahaha..

.....
Hahahahahaaaa!
Duh! Hako kapicha nakakubali sana! Coz kamekaa kiubishi ubishi ivi!
Dah! Nimekupenda bure mtu wangu!
 
Hahahahahahahahaaa...!
Unashangaa nini sasa?
Furaha ya ndoa haiji natural! So ni jukumu lako kuitengeneza!
Hahahahaaaa!
Oweni tu vijana! Msiogope!
kwah! kwah! kwah! (mnisamee bure)

mkuu na ndoga pia zipo uki-misspeak the wright choice, mungu atusaidie kha kila siku wamenuniana.....

akifika jirani wanajichekesha kupotezea, you must be sure you have made a proper and correct choice.

otherwise majuto ni mjukuu......yallah!
 
.....
Hahahahahaaaa!
Duh! Hako kapicha nakakubali sana! Coz kamekaa kiubishi ubishi ivi!
Dah! Nimekupenda bure mtu wangu!

Yaani leo nimehamia huku ambako naliwazwa na kupozwa,

asikuambie mtu kule siasa jukwaa ni kutwaa Kagame na vita lo!

umenifurahishaje leo! weee, siri yangu

lakini usisaha masharti ya ndoa upendo wa kweli, kuheshimiana, kuvumiliana na kutimiziana yale yote yamsingi.
 
mkuu na ndoga pia zipo uki-misspeak the wright choice, mungu atusaidie kha kila siku wamenuniana.....

akifika jirani wanajichekesha kupotezea, you must be sure you have made a proper and correct choice.

otherwise majuto ni mjukuu......yallah!

....
Unajua bhana nakubaliana na wewe kwa 100%! (corrections SIJAOA!)
Kujipanga ndio mpango mzima! Ibakie tu kudra za Mungu!
Mi sometimes hujisemea wale waliooa wengi kama wanajifyatua flani ivi! Coz buguza na kero za m/ke kuzivumilia yataka moyo mpevu! Mi wangu bado mchanga huu!
Mkuu niombee!
 
Nshallah kaka nitakuombea, mimi nina ndoa miaka 11 sasa, ninafurahia ndoa yangu sana, lakini matatizo hayakosi, bali

busara, hekima na uvumilivu
huwezesha ndoa kuchipua na kuwa na afya siku zote.

Lakin if and only if you have done a fine and correct choice.
 
avatar150879_1.gif

Hapo sasa SOCIOLOGISTTZ Avata yako inamchangogani kwenye mada hii ndugu yetu?

Ina maana kama kijana anaweza kukaa na baba yake au mama yake na kuanza kumuuliza habari mbalimbali za maisha yakiwamo na haya anayouliza huku,
Pili anaweza kuangalia maisha wanayoishi wazazi wake tangia wakiwa wadogo hadi leo, hapo anaweza kupata pa kuanzia
 
Wewe mkali mkuu hii avata yako kumbe imebeba ujumbe huo!
 
Nshallah kaka nitakuombea, mimi nina ndoa miaka 11 sasa, ninafurahia ndoa yangu sana, lakini matatizo hayakosi, bali

busara, hekima na uvumilivu
huwezesha ndoa kuchipua na kuwa na afya siku zote.

Lakin if and only if you have done a fine and correct choice.

....
1-hongera kwa kuwa na ndoa yenye furaha!
2-ahsante kwa kuniombea nami nipate ndoa bora!
Inshaallah!
 
Back
Top Bottom