Swali kwa waliomaliza UDSM department ya CONAS

beukidot

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
60
Reaction score
34
Habari zenu
Naomba kuuliza kwa wanaomjua Dr manoko yukoje hasa kwenye mitihani anaefundisha botany..taxonomy of higher plant maana coz ni ngumu kwa wengi wetu.....
 
Nilisoma pale ila huyo simfahamu pia CoNAS ni college sio department
Botany ndo department ndani ya CoNAS
 
kabla hatujaangalia wasifu wake wa ndani km mitihani ni kwamba, ni mrefu kiasi, maji yakunde na kabonge hivi... wengine wakija watatoa wasifu wake wandani.
 
Kwenye ufundishaji na darasani kwa ujumla yupo strictly sana..ila kwenye kusahihisha Mitihani yupo Fair tu wala usiogope.
 
Unasoma bsc Botany? Kama ndio kaza sana maana Kuna majamaa 3 ninaowajua waliliwa kichwa kwenye hiyo kozi.
 
Habari zenu
Naomba kuuliza kwa wanaomjua Dr manoko yukoje hasa kwenye mitihani anaefundisha botany..taxonomy of higher plant maana coz ni ngumu kwa wengi wetu.....
Kama ni ngumu si uache chuo mkuu kwanini usome mambo magumu ???
 
UD hakuna department iitwayo department ya CoNAS...Otherwise, Manoko ni mtu poa na mitihani yake imenyooka. Nadhani ana shida ktk usahihishaji wake, anacomplicate....Sijui sasa hivi ila zamani alikuwa harejeshi karatasi za Test 1 & 2 kujua wapi umekosea sawia au umekoseshwa.
 
Duuh umenikumbusha mbali mkuu!! Dr manoko yupo poa sana sema ana vitisho Fulani unaweza ogopa..!! Ila usiogope mkuu
 
Habari zenu
Naomba kuuliza kwa wanaomjua Dr manoko yukoje hasa kwenye mitihani anaefundisha botany..taxonomy of higher plant maana coz ni ngumu kwa wengi wetu.....
Ndiyo maana siku hizi degree siyo kitu cha kushangaa hata kwa aliyefeli form four hivi kweli conas ni department dogo kasome PS acha kusumbua watu nyambafu sana
 
nashukuru ndugu yangu....wewe umekamilika sana huna makosa...God bless you more
 
UD hakuna department iitwayo department ya CoNAS...Otherwise, Manoko ni mtu poa na mitihani yake imenyooka. Nadhani ana shida ktk usahihishaji wake, anacomplicate....Sijui sasa hivi ila zamani alikuwa harejeshi karatasi za Test 1 & 2 kujua wapi umekosea sawia au umekoseshwa.
no one is perfect nilikosea na nikakubali hapo juu kuhusu department na collage
 
Hakuna tatizo mkuu, sote ni wanadamu hukosea...Waungwana hufahamu hilo. That's why nilijibu swali lako.
 
Yuko strictly sana anazingatia ethics,hamwonei mtu yuko poa sana alitufundisha kozi ya taxonomy of higher/flowering plants alikuwa anatutisha sana ila baadaye tulimzoea natukafaulu
 
Back
Top Bottom