Hili ni swali la watu waliokomaa kinapenzi na wenye experience na wenye ndoa. Kama haupo kwenye Hayo niliyotaja usijibu
Hivi ni Kwa nini utakuta mwanamke amesoma ana kazi nzuri na anaheshimika sana anakuwa na mume ambaye hajiheshimu na Huyu Mke wake anatumia kila jinsi kumtetea na kupenda Mume wake.
Ni kwa nini mwanamke anajiweza ila Mume ndio player. Mfano mkubwa ni Bill Clinton alikuwa restaurant mkewe Hillary akatokea ghafla bill cliton akajifanya hamtambui au hajamwona. Kwa nini Hillary hajali kudhaliliwa kutwa. Why?