riro23
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 790
- 781
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.
we ndio hauna sifa ya kuajiriwa serikalin
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.
rafiki, walimu wengi wanazo sifa, sasa tatizo la walimu wengi ni waoga, hawajui stahili zao, na hata wakijua uoga unawaathiri.....na kujaribu hawawezi....
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.
Nawe wazazi wako hawana sifa ya kuitwa wazazi kama wamekulea mtoto usie na adabu hivi!!!?
we ndio hauna sifa ya kuajiriwa serikalin
Mimi sijakuambia wewe kuwa huna sifa .
Nimesema walimu wengi hawana sifa.
Na kama ni uongo ngoja siku mafisadi wa elimu watakapo anza kushughuilikiwa ndipo utakapoona wasio na sifa wakikimbia kwa sababu ya kughushi vyeti.
Wewe unaona walimu walioajiriwa kipindi cha waziri Mungai walikua na sifa au unaamua tu kujitoa ufahamu ili tujue kwamba na wewe ni mwalimu?
Au ulikua hujazaliwa?
Sasa kama hujui tatizo utalitatuaje?
Huna adabu kabisa.... Mshenzi na mpumbavu wa kwanza
nakumbuka nilivyokuwa mwalimu , nilikuwa mtata sana....Ni kweli kabisa! Na uoga ni umaskini!
Duuuh.. nisaidieni kwanza hili.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kutoka wilaya ya Lindi vijijini kama wewe ni mwalimu unataka kubadili kituo mimi nipo Lindi vijijini na anayetaka kuja huku naomba kubadilishana nae ila iwe ni kutoka wilaya ya Muheza, Mkinga, Korogwe, Tanga, Kibaha, chalinze, kisarawe, Handeni na morogoro. mawasiliano yangu 0717473180, 0788882280