Swali kwa Walimu wote nchini

Swali kwa Walimu wote nchini

Shenzi kabisa ww




Kabla ya jazba ungeuliza kwanza sifa ninazosema kwamba baadhi ya walimu wamezikosa. Huo ndio ustarabu na uungwana.Na utakua ni mtu wa ajabu kama hujui kuwa kuna walimu wengi hawana sifa.

Vinginevyo utakua umenipa sifa kwa kuniita kuwa mimi ni mshenzi kabisa.
Eee , mana hauna namna nyingine ya kujenga hoja zaidi ya kutoa sifa.
Mana wote lazima tukubaliane kuwa neno mshenzi wakati mwingine linatumika kama sifa.

70% ya wafanyakazi wote wa umma ni walimu .Kama 50% kati yao wangekua washenzi kabisa nadhani mwajiri wao angenyooka na kutoa kipao mbele kwa hili kundi kubwa na la muhimu kwenye jamii.
 
mkuu hii thread yako haina mashiko coz hata kama tukitiririka haita tusaidia kitu leta hoja mezani kwamba nn tufanye ili kuongeza kipato na ufanisi kwa waalimu sanjari na kuimarisha uchumi wetu...................
 
Shenzi kabisa ww

Mkuu mbona kama umepaniki? siku zote ukweli una tabia ya kujitenga hebu rudi nyuma unawakumbuka wale "walimu wa Mungai" binafsi ninawafahamu wanne wote hao walikuwa ni wahudumu wa bar pale mtaani kwangu, mungai alipoanzisha PEDP nikashangaa eti nao wamekuwa walimu sijui hata vyeti walivitoa wapi kwani wote walifeli masomo yao ya sekondari wengine wakiishia form two. hawa leo ndio walimu wa watoto wetu napata wasiwasi kwa elimu wanayoitoa. Nawakumbuka pia wale walimu wa UPE ambao wengi wao ndio wanastaafu sasa kwa hakika walimu wale wamechangia katika kudumaza elimu yetu na kuzalisha watu ambao si creative. Majority walikuwa wahitimu wa darasa la saba wakapelekwa kozi ya miezi miwili wakarudi kuwafundisha wenzao wa darasa la saba hii ni ajabu.

Lakini pia walimu hawa hawa ndio wanaenda likizo bila kupewa pesa zao za likizo na bado hawaonyeshi kujali, walimu wamekuwa wakisombwa na malori kwenda kusimamia mitihani ya darasa la saba na hata form four huku wenzao wa cadre nyingine wakikodiwa mabasi walimu hawalalamiki na wala hawachukui hatua juu ya jambo hili. walimu wamekuwa hawapandishwi madaraja kwa wakati lakini hutawasikia wakichukua hatua stahiki eti wanamwachia ULUOCHI akawasemee kwenye bunge la katiba.

walimu watatumiwa kwenye mazoezi yote muhimu kama vile sensa na uchaguzi huku wakilipwa vijiposho kiduuuchu. zoezi likikamilika wanasahauliwa na kutupwa kama .... Hakika kuna mambo mengi ya kushangaza juu ya walimu wa tanzania, kuyasema haya isimaanishe kuwa watuwaheshimu walimu. binafsi ninatambua mchango wao katika ujenzi wa taifa hili ila "uzuzu" wao mmh!
 
Mshahara wa mwalimu ni kwa ajili ya pilipili kwenye mboga ya mil 10 cna uhakika kama itakoa naona wangekua wawil ingekoa
 
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.

Umesema kweli kabisa mkuu,kwa idadi walionao walimu wakiamua kudai haki yao ki ukweli watasikilizwa.
 
heri wewe uliyezaliwa ukiwa tayari unajitambua. Unastahili kuitwa mpu.mba.vu kwa kumdharau mwalimu aliyekufundisha hata kutoa kamasi kazi iliyomshinda mama yako! Wangekuwa hawajitambui ungeweza kushika keyboard na kuchapa utumbo wako huu? Hujafundwa kwenu ndo maana huna maana. Ukome kuwadhalilisha walimu waliowafundisha hata hao wezi wa escrow na wakamudu kukuibia hata wewe.

Kiongozi naona hukumsoma vizuri huyu jamaa,naona hakuwa na maana ya kumdharau mwalimu
 
Hacha upambe usio na msingi mwalimu anawazidi mshahara kada nyingine nyingi mböna hawalalamiki ovyo?
 
Duuuh.. nisaidieni kwanza hili.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kutoka wilaya ya Lindi vijijini kama wewe ni mwalimu unataka kubadili kituo mimi nipo Lindi vijijini na anayetaka kuja huku naomba kubadilishana nae ila iwe ni kutoka wilaya ya Muheza, Mkinga, Korogwe, Tanga, Kibaha, chalinze, kisarawe, Handeni na morogoro. mawasiliano yangu 0717473180, 0788882280


Huko ndiko kwenye fursa Mwl pambana kurudi nyumbani siyo deal miaka hii
 
Umesema kweli kabisa mkuu,kwa idadi walionao walimu wakiamua kudai haki yao ki ukweli watasikilizwa.

Mnachoweza kufanya ni kugoma kama huyu hapa
486768_455635981197802_377335298_n.jpg
 
Ikiwa tsh milioni 10 ni hela ya MBOGA kwa TIBAIJUKA.

Je, mshahara wa mwalimu kwa mwezi, Tibaijuka angeweza kununua nini?

Tiririka mwalimu ili uone kama upo sehemu sahihi.
matusi na dharau ya ccm kwa walimu hayo
 
Hacha upambe usio na msingi mwalimu anawazidi mshahara kada nyingine nyingi mböna hawalalamiki ovyo?


Mkuu walimu hawalalamiki tunaangalia namna watu waliopewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wanavyotoa kauli zenye utata
 
Mkuu walimu hawalalamiki tunaangalia namna watu waliopewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wanavyotoa kauli zenye utata

Muulize mwalimu anamzidi mshahara mtumishi wa idara gani hasa wakiwa na kiwango sawa cha elimu na muda wa uwepo kazini?
 
Back
Top Bottom