Swali kwa Walimu wote nchini

Swali kwa Walimu wote nchini

NGANU

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
1,919
Reaction score
393
Ikiwa tsh milioni 10 ni hela ya MBOGA kwa TIBAIJUKA.

Je, mshahara wa mwalimu kwa mwezi, Tibaijuka angeweza kununua nini?

Tiririka mwalimu ili uone kama upo sehemu sahihi.
 
dawa ni kuwaondoa madarakani, hakuna suluhisho la tatizo la kumdharau Teacher na kumdhalilisha nyerere . Nyerere aliweka teaching allowance, vipi ninyi muitoe. na kumfanya mwl kibarua.
 
It does not care fuc.ki.ng how many years new govt gonna work, kama hawataliona hilo kujali wananch we delete them. Tanzania watanzania wanatahili posho hata elfu 20000 kila mtanzania kila mwezi benk, kila mwanachi aweza pata posho kila mwezi.
 
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.
 
Duuuh.. nisaidieni kwanza hili.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kutoka wilaya ya Lindi vijijini kama wewe ni mwalimu unataka kubadili kituo mimi nipo Lindi vijijini na anayetaka kuja huku naomba kubadilishana nae ila iwe ni kutoka wilaya ya Muheza, Mkinga, Korogwe, Tanga, Kibaha, chalinze, kisarawe, Handeni na morogoro. mawasiliano yangu 0717473180, 0788882280
 
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.

heri wewe uliyezaliwa ukiwa tayari unajitambua. Unastahili kuitwa mpu.mba.vu kwa kumdharau mwalimu aliyekufundisha hata kutoa kamasi kazi iliyomshinda mama yako! Wangekuwa hawajitambui ungeweza kushika keyboard na kuchapa utumbo wako huu? Hujafundwa kwenu ndo maana huna maana. Ukome kuwadhalilisha walimu waliowafundisha hata hao wezi wa escrow na wakamudu kukuibia hata wewe.
 
Ikiwa tsh milioni 10 ni hela ya MBOGA kwa TIBAIJUKA,
Je mshahara wa mwalimu kwa mwezi, Tibaijuka angeweza kununua nini?

Tiririka mwalimu
ili uone kama upo sehemu sahihi.


pesa ya kununulia vocha
 
Angeishi maisha hayo hayo ya mshahara huo huo mdogo.
 
Ujinga wako ndo unafanya ujibiwe hivyo so be calm


Angalia post yako hapo juu nani kakujibu,
mimi nilikuwa natoa tahadhari tu kwako.
suala la kutukanwa mimi nilishazoea ko tukana unavyoweza.
 
Back
Top Bottom