aisee huko uswahilini unapoishi nakushauri uhame maana inaonekana unakutana sana na walevi wa local brew...nigonge zangu nyagi au kvant halafu nikakojoe choo kinuke??
Pole yako mm nimeanza kunywa pombe nikiwa darasa la saba. Ila kumbuka connection zote za maisha zinapatikana bar sasa wewe saa kumi kamili jioni umeishaingia ndani upo na mke na watoto, sijui upo kijiwe cha kahawa hzo dili utazipatia wapi?