Wakati mwingine mazoea, yaani kwa kuwa umeoa/umeolewa basi unajiachia tuu unanenepeana hovyo hovyo kitambi kuleee!! Kumbe mwenzio alikupendea mwili mdogo na limwili likubwa linamkwaza so michepuko inaanzia hapo!
Pia mazingira, yaani mnalala pale pale mnafanya yenu kwa style zile zile kwa miaka nenda rudi lazima mchokane!! Kubadilisha mazingira kidogo ni jambo la msingi hata kama hela hamna mnapeleka watoto kwa bibi yao then mnaanza kuzunguka nyumba nzima mkikolezana, mara jikoni mara bafuni mara chumba cha wageni looh!!