Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke duniani ambae anakuzidi kipato utaweza kuishi nae labda awe ameamuatu kutokujali au umri umeenda sana
Usitarajie waje hapa wakuambie ukweli
Kuna tofauti sana kati ya mwanamke wa hapa JF na wa nje ya hapa
Kuna wakati huwa nakubaliana na @Lara1 kwa yeye kuwa muwazi
Watakuambia mara oooh hujiamini,mara ooh mapenzi hayajali pesa na bla bla zingine kama hizo wakati na wao wanajua kabisa hawawezi kuishi na mtu ambae hana hela au wanamzidi kipato ..........!!!!!!!!!!!
Unamaanisha nini mkuu?
umeonaaaaaa! wanawake wa humu fekeroooooooooo! wachunaji kichizi!
Maana yangu ni kwamba hakuna boflo ngumu mbele ya chai...
Mwanaume anaweza kumtongoza mwanamke wa hadhi yoyote maadam kazingatia vigezo vya sanaa ya utongozaji...
mwenye kipato cha chini ya hapo wala asijisumbue kukufuata kutangaza nia??
Hili linawezekana kama ni kutafuna na kusepa
Huyu jamaa nadhani anazungumzia ndoa au mahusiano serious ....!!!!!!!!
bottom line is men are so daaammn insecure!!!
babu eeee hebu jengeni kujiamini
acha kipato tu mwanamke akikupita height tu baass ni tatizo!
au nimesema uongo??
Either way mwanamke yoyote unaweza kumpata...
Si wanawake wote hutazama ya mwilini, wengi wenye kutafuta furaha ya mahusiano hutazama ya moyoni.
bottom line is men are so daaammn insecure!!!
babu eeee hebu jengeni kujiamini
acha kipato tu mwanamke akikupita height tu baass ni tatizo!
au nimesema uongo??
Huu ni uongo hata wewe unajua hilo .....!!!!!!!!
Huu ni uongo hata wewe unajua hilo .....!!!!!!!!
Enzi unafall in love na toni Braxton
Nani huyo anataka kuniibia Toni wangu?
Ukweli ni kuwa hakuna
mwanamke duniani ambae anakuzidi kipato utaweza kuishi nae labda awe
ameamuatu kutokujali au umri umeenda sana
Usitarajie waje hapa wakuambie ukweli
Kuna tofauti sana kati ya mwanamke wa hapa JF na wa nje ya hapa
Kuna wakati huwa nakubaliana na @Lara1 kwa yeye kuwa muwazi
Watakuambia mara oooh hujiamini,mara ooh mapenzi hayajali pesa na bla
bla zingine kama hizo wakati na wao wanajua kabisa hawawezi kuishi na
mtu ambae hana hela au wanamzidi kipato ..........!!!!!!!!!!!
Huenda ukawa sahihi lakini
hii bado ni kama hadithi kwa sababu bado hili halijanitokea na kikubwa
zaidi sijaliona kwa yoyote !!
Hapana mkuu,
Jamaa yuko sahihi kabisa...hebu fanya utafiti kisha utwambie!
Babu DC!!
endelea na utafiti utaona tu
dunia nzima kha!!! uongo huu watu tuna mifano mingi tu! mtapiga miayo hadi kesho kwa mawazo yasiyo na tija