Huo sisi tunauita ukweli mchungu ......!!!!!!!
Babu Dark City nakusalimu popote ulipo .......!!!!!!!
Habari wana MMU!
Ningependa kujua hivi kuna uhusiano wowote wa muonekano wa mwanamke (hapa namaanisha mavazi, vipodoz anavyopaka,nywele) na aina ya mpenzi ambaye unategemea uwe naye?
Hapa nikimaanisha kama umevaa kuanzia juu mpaka chini vitu vyenye thamani let say si chini ya 200000 basi mtu mwenye kipato cha chini ya hapo wala asijisumbue kukufuata kutangaza nia??
Siku njema!!
Nilidhani tunapumzika leo kaka....
Ila ukweli bwana hawa ndugu zetu ni wa kuishi nao kwa machale....
Akishakupita kipato, elimu au mdaraka ujiandae kukiona cha moto..... You need to be a genius to be with her with certainity!
Ngoja kwanza nimalizie hadithi za wajukuu....nitarudi!
Babu DC!!
Habari wana MMU!
Ningependa kujua hivi kuna uhusiano wowote wa muonekano wa mwanamke (hapa namaanisha mavazi, vipodoz anavyopaka,nywele) na aina ya mpenzi ambaye unategemea uwe naye?
Hapa nikimaanisha kama umevaa kuanzia juu mpaka chini vitu vyenye thamani let say si chini ya 200000 basi mtu mwenye kipato cha chini ya hapo wala asijisumbue kukufuata kutangaza nia??
Siku njema!!
Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke duniani ambae anakuzidi kipato utaweza kuishi nae labda awe ameamuatu kutokujali au umri umeenda sana
Usitarajie waje hapa wakuambie ukweli
Kuna tofauti sana kati ya mwanamke wa hapa JF na wa nje ya hapa
Kuna wakati huwa nakubaliana na @Lara1 kwa yeye kuwa muwazi
Watakuambia mara oooh hujiamini,mara ooh mapenzi hayajali pesa na bla bla zingine kama hizo wakati na wao wanajua kabisa hawawezi kuishi na mtu ambae hana hela au wanamzidi kipato ..........!!!!!!!!!!!
Unamaanisha nini mkuu?
Aisee... kwahiyo kuna uhusiano mkubwa kati ya muonekano wa mwanamke na mwanaume atakayekuwa naye? Ila umeongea kitu cha msingi sana mkuu... thumbs up!!!