umesema kweli mamii.
shanga uzivae mwenyewe ila usiveshwe na mtu iwe ni baba wala shangaz wala mganga wa kienyeji. shnga nunua zako dukan nenda kaitunge sie ya kiuno chako vaa.
Imwagie na maji ya Baraka just to be safe hata kama umenunua dukani.
mmmh! kuna uzi niliwah kuchangia kule jukwaa la chini kabisa kuhusu kazi ya shanga na matumizi yake. sasa kama unaoufunguo wa kule nenda kajionee mwenyewe uko katika zile nyuzi za sticky na AshaDii alizifanyia collection. pale utapata aana ya shanga kwan huvaliwa, zinavaliwa ngapi, matumizi yake kidigitari na kianalogia.
mie huwa naziombea kabisaaa na kuzitakasa kwa damu ya Yesu na pia nazinenea nataka zinifanyie nini.
unatamka kabisa Bw Yesu navaa shanga hiiz ili nimpendezeshe mume wangu, na sio mtu mwingine yyte. nazikomboa kwa damu yako ya thamani na kuzitakasa na kuziweka wakfu kwaajili ya matumizi yangu na mume wangu tu basi. nakuomba kwa kuzivaa zisinijaribu na wala zisinifanye nikakutenda dhambi. kisha ndo navaa.
maisha ya siku hizi ukiacha kila kitu kijiendee chenyewe nakuambia utalia machozi siku moja
si ndo nataka kujua??????????? nijulishe thamani yake basi!!!!!!!!!!!!!Kiuno bila shanga sawa na shingo bila mkufu. Pia ni kichocheo kwa wale wanaume wanaojua thamani yake katika majamboz
mgh!!!!!!!!!!!!!Zinasaidia kama unataka kumfungia mwenzio asiondoke pale alipo.
Unafunga kamba kwenye shanga zake, unaunganisa say na kiti au meza
ukiondoka na ukarudi utakuta bidada yuko pale pale, she can't go nowhere
Ungefunguka tu hapa my dada..manake wengine kule chini hatujapewa funguo...
mods nitawezaje kufika huko chini.. ufungo jamani hii kitu imeniumza kichwa muda nataka kujua!!!!!!!!!!!!!
Mkuu salama? Nani mwenye ufunguo wa hilo jukwaa la chini kabisa?mmmh! kuna uzi niliwah kuchangia kule jukwaa la chini kabisa kuhusu kazi ya shanga na matumizi yake. sasa kama unaoufunguo wa kule nenda kajionee mwenyewe uko katika zile nyuzi za sticky na AshaDii alizifanyia collection. pale utapata aana ya shanga kwan huvaliwa, zinavaliwa ngapi, matumizi yake kidigitari na kianalogia.
Mkuu salama? Nani mwenye ufunguo wa hilo jukwaa la chini kabisa?mmmh! kuna uzi niliwah kuchangia kule jukwaa la chini kabisa kuhusu kazi ya shanga na matumizi yake. sasa kama unaoufunguo wa kule nenda kajionee mwenyewe uko katika zile nyuzi za sticky na AshaDii alizifanyia collection. pale utapata aana ya shanga kwan huvaliwa, zinavaliwa ngapi, matumizi yake kidigitari na kianalogia.
Imwagie na maji ya Baraka just to be safe hata kama umenunua dukani.
Muombe mtu aitwa Invizibo....