Swali kwa UHAMIAJI na kwa anaejua yoyote

Prince M Mwakyusa

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
374
184
Swali Langu,

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji alitangaza Ajira:October,2015 na walioomba hawajaitwa kwenye usaili mpaka Leo wala kutoa majina yao ghafla Kamishna kasimamishwa kazi Je? watoto waliotuma maombi wanawasaidiaje au inakuwa basi tenaa 2, kwanini wamechukua mda mrefu sanaa bila kuwaita watoto kwenye usaili ?

"NAOMBENI MSAADA WENU "
 
kaka toka October 2015 .....kweliiiii au ndo wamechkua kweli JKT kimyakimyaaaaaa

to be honest, hata mimi sikutegemea kama itachukua muda mrefu kiasi hiki, nilitegemea majina yatatoka by the 1st week of January.

kama hilo la JKT ni la ukweli, ndo basi tena, ila si kila mtu amepitia JKT, na sio wote waliopita JKT wanakidhi vigezo vingi walivyovitoa kwenye tangazo lao la kazi.

kwa mfano, katika nafasi ya konstebo wanataka form 4 waliomaliza kati ya 2011 na 2014, na awe amefaulu masomo ya Kiingereza, Kiswahili, Historia, Jiografia, Kifaransa, Hisabati, ambapo masomo matatu kati ya hayo yawe katika kiwango cha “Credit”

I am sure idadi kubwa ya vijana waliomaliza ndani ya muda huo na kupata ufaulu wa namna hiyo, wako mitaani. waliokwenda jeshi ni wale waliokwenda hadi form 6 na sasa wanachukua degree (tayari wako nje ligi)

mi naona bora ibaki kama walivyosema kwenye tangazo lao kwamba "Waombaji ambao wamehudhuria Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT au JKU) watapewa kipaumbele" lakini sio waanze kuwafuata huko huko jeshini, kwani ukimchukua kijana ambaye amekidhi vigezo vyote kasoro cha jeshi na ukampeleka jeshi kuna shida gani? si wamesema wenyewe "(kama utachaguliwa)uwe tayari kuhudhuria Mafunzo ya Kijeshi"?

sasa unaenda huko msituni unakuta kijana yuko vizuri ila kafeli English au Math form 4 na pengine hata hakusoma Certificate utamchukua?
 
hivi ikiwa wataamua kuchukua JKT tuu si watatoa Taarifa kwa Umma ????
 
husiwaze dogo, ngoja nikwambie ukweli hizo nafasi 600 zimetangazwa kote mtaani na kambi za jkt. Nina mdogo wangu yupo Kambi ya kabuku jkt kesho ndio mahafali yao ya kumaliza kozi kambi yao imechelewa nyingi zimemaliza December.. Kabla ya kumaliza kozi waliambiwa wenye vigezo waombe hizo nafasi za uhamiaji cha kushangaza kambi zima wenye sifa walikuwa 30 tu.. Majina bado hayajatoka mara nyingi kwa nafasi nyingi huwa inachukua miezi 3.. so kwenye mwezi huu mwishoni au wiki ya kwanza ya February.. mfano hai mwaka 2014 zilitangazwa nafasi tarehe 27 February majina ya usaili yakatoka tarehe 30 May zilikuwa nafasi kama 300.
 
Ahsante mkuu
 
alright mkuu, lets wait and see
 
narudia tena watu walishachukuliwa kupitia jkt,endelea kusubiri katika hamna tu.hii imefanyika baada ya kuonekana zile figisufigisu za siku zote za kujuana bado zinaendelea kitengo cha uhamiaji!mwanzo waliambiwa wayapitie upya majina ya waliochaguliwa kuona kwamba jee ni kweli wanakidhi vigezo?baadae wakaingia jkt sina uhakika kama ni kambi zote,wakachukua madogo.so now wanapiga kozi wanasubiri kula maisha sio!
source,mtu wa karibu kutoka uhamiaji,japo hata mimi sijamuamini bado!
 
Swali Langu,

Kamishna Mkuu wa Uhamiaji alitangaza Ajira:October,2015 na walioomba hawajaitwa kwenye usaili mpaka Leo wala kutoa majina yao ghafla Kamishna kasimamishwa kazi Je? watoto waliotuma maombi wanawasaidiaje au inakuwa basi tenaa 2, kwanini wamechukua mda mrefu sanaa bila kuwaita watoto kwenye usaili ?

"NAOMBENI MSAADA WENU "
Kwani aliyesimamishwa hiyo kazi ni kamishna au ofisi ya kamishna..??
 
narudia tena watu walishachukuliwa kupitia jkt,endelea kusubiri katika hamna tu.hii imefanyika baada ya kuonekana zile figisufigisu za siku zote za kujuana bado zinaendelea kitengo cha uhamiaji!mwanzo waliambiwa wayapitie upya majina ya waliochaguliwa kuona kwamba jee ni kweli wanakidhi vigezo?baadae wakaingia jkt sina uhakika kama ni kambi zote,wakachukua madogo.so now wanapiga kozi wanasubiri kula maisha sio!
source,mtu wa karibu kutoka uhamiaji,japo hata mimi sijamuamini bado!
narudia tena watu walishachukuliwa kupitia jkt,endelea kusubiri katika hamna tu.hii imefanyika baada ya kuonekana zile figisufigisu za siku zote za kujuana bado zinaendelea kitengo cha uhamiaji!mwanzo waliambiwa wayapitie upya majina ya waliochaguliwa kuona kwamba jee ni kweli wanakidhi vigezo?baadae wakaingia jkt sina uhakika kama ni kambi zote,wakachukua madogo.so now wanapiga kozi wanasubiri kula maisha sio!
source,mtu wa karibu kutoka uhamiaji,japo hata mimi sijamuamini bado!
kijana umechanganya madesa.. haupo sahihi. Ngoja nikupe ukweli; Kuna nafasi zilitangazwa katika kambi za JKT peke yake kwa koplo na Konstabo wa Uhamiaji na walifaulu usaili wameripoti 11 September 2015 hapo kurasini kwa ajili ya kwenda CCP Moshi. Kuhusu hizi nafasi za October zimetangazwa kote JKT na Uraiani na Mdogo wangu yupo Kabuku nae ameapply na taarifa za huko bado majina hayajatoka. Pia hata kama wangekuwa wameshachukua jkt Lazima tangazo la kulipoti kwa ajili ya mafunzo lingetoka ktk website ya www.usalamawetu.blogspot.com ni site ya wizara ya mambo ya ndani
 
aiseeeee thanks so much.........
 
nashukuru kwa ufafanuzi mkuu!
Ahsante.
 
Wamehamua kuchukua watu kutoka Jkt baada ya ubabaishaji wa watu kuweka ndugu zao kwahyo serikali imeagiza wachukuliwe watu wenye sifa kutoka Jkt wanaojitolea kwahyo kama unasubiri kuitwa utangoja mpaka watu wenye sifa waishe jkt
Yah ni kweli kabisa , hata mm ndio habari nilizonazo
 
Back
Top Bottom