Swali kwa RFA

Swali kwa RFA

Kyabuguta

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
264
Reaction score
43
Jamani wadau wa habari, mimi hiki kituo cha Radio Free Afrika kinanishangaza sana staili yake ya matangazo. Kila siku mawasiliano hayaeleweki.
 
Hawa majamaa ckuhzi wamekwisha kabisa.hawana ladha km awali. Tangu waondoke wale watangazaji marufu kama kina Fredy
 
Hawa majamaa ckuhzi wamekwisha kabisa.hawana ladha km awali.tangie waondoke wale watangazaji marufu km kina fredy godwin gondwe rahabu fungu
 
Nipeni frequency za RFA za Mkoa wa Katavi -Mpanda
 
Hawa majamaa ckuhzi wamekwisha kabisa.hawana ladha km awali.tangie waondoke wale watangazaji marufu km kina fredy godwin gondwe rahabu fungu

we acha bwana RFA, ilikuwa ile ya miaka ya 95 , kina DEO KIDUDUYE, GABRIEL YOTA MWASASU, bwana na gazeti lao la msanii Afrika!! kanda ya ziwa ilikuwa balaaaa!!
 
we acha bwana RFA, ilikuwa ile ya miaka ya 95 , kina DEO KIDUDUYE, GABRIEL YOTA MWASASU, bwana na gazeti lao la msanii Afrika!! kanda ya ziwa ilikuwa balaaaa!!

Bila kumsahau
Roy Maganga
Barwan Mhuza
Baina Kamkulu
Maregesi Ngilishoni
Kid Bwayi
Samuel Kiama
Rahabu Fred
 
Bila kumsahau
Roy Maganga
Barwan Mhuza
Baina Kamkulu
Maregesi Ngilishoni
Kid Bwayi
Samuel Kiama
Rahabu Fred

ROY MAGANGA kama sikosei ama sijasahau huyu atakuwa ameshatangulia mbele ya haki ni marehemu.
 
Kweli mambo yanawashinda. Wanaonyesha tamthilia kwa miezi miwili kisha wanaikatisha kwa miezi minne tena bila taarifa kuomba radhi kwa watazamaji. Kwenye radio wanakwambia tunajiunga studio za Dar Reagent Estate kwa uchambuzi wa magazeti lakini kimyaaa hakuna sauti
 
Kwa ufupi HAWAJAJIPANGA, Bora liende...
 
Back
Top Bottom