Swali kwa RFA

Swali kwa RFA

Nime search Hamna kitu, labda imekata
hizo ndizo frequency, za rfa katavi, kwani kuna kipindi nilikuwa hapo,nilikuwa naipata kwa 87.9 ila huwa inasumbua kweli, kupatikana, nadhani mitambo yao itakuwa na shida, kama unatumia zile radio za kutafuta kwa kuzungusha, jaribu kwenye sw, mw band. kwani masafa ya fm, wakati mwingine kama kuna kizuizi ni shida,
 
Kuna kipindi nilikua 88.8 kila ukifungua ni shiiiiiiiiiiiiiiii hamna kitu.
 
Kwa miaka ya nyuma Radio Free ndio ilikuwa na uwezo wa kusikika sehemu yoyote Tanzania tena kwa sauti ya kuridhisha.

Labda sasa hivi mitambo yao imechoka,Haina matengenezo. !
 
Kuna Kiss Fm -- Mdogo wake Rfa, ikifika saa 10 jioni, kipindi kile cha mdada Salome (kama sijakosea), yaani akiongea na kuweka matangazo, yanasikika vizuri tu, ila akiweka miziki, sauti inakuwa ya chini sana, na leo ni siku ya tatu, yaani tangu J3 ya juzi. Sijui kama kuna mnaofuatilia na kuligundua hilo tatizo?!. Wahusika jamani rekebisheni hilo.
Ahsante!
 
Back
Top Bottom