Swali kwa professor

Swali kwa professor

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?
 
uende mwezini?ushaskia nani alifika mwezini??
 
Ya nini umsumbue profesa wakati majibu wanayo akina mama. Maana nasikia wao kila mwezi wanakwenda mwezini.
 
Prof.tunataka kwenda mwezini kufanya uchuguzi wa kitaalam ya kisayansi,tupe formula ya jinsi ya kwenda huko?[/QUOTE Unamuuliza professor wa kichina au yup mkuu?
 
Back
Top Bottom