Swali kwa pesa za nssf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa pesa za nssf

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LuCKNOVICH, Mar 13, 2012.

 1. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hello wana JF,
  Je inawezekana kuchukua pesa kama hujaacha/kuachishwa kazi,kimsingi nahitaji ku invest hiyo pesa kuliko ikae huko bila interest yoyote.
  Mwenye ufahamu please.
  Naomba kuwakilisha.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Ninavyoelewa NSSF hauwezi kujitoa, na hauipati hiyo hela hata kama kukiacha/kuachishwa kazi ni mpaka ufikie umri wa kustaafu ndipo utaanza kupata malipo kwa mpango details zaidi zipo kwenye website yao.
  Ungekuwa unaweza kujitoa ingepoteza maana yote ya NSSF, kwa sababu inategemea mchango wako kuwalipa wastaafu wa sasa na wewe ukistaafu utalipwa na mchango wa vizazi vijavyo (unless mpango mzima u-collapse huko mbeleni :A S-cry: ).
   
 3. GIUSEPE

  GIUSEPE JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
 4. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,298
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbna kuna jamaa tulikuwa tunafanya nao kazi wakaacha na baada ya miezi kadhaa walichukua chao NSSF.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kang kama haujui ni bora unyamaze tu,ukiacha kazi either kwa kuresign au kustaafu(umri umefika) lazima upewe mpunga wako ndani ya miezi 6,cha msingi ni kupata barua ya kustaafu/termination letter kutoka kwenye kampuni then unaipeleka nssf ndani ya miezi 6 unakula mpunga wako wote!!
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Edit: Wewe ndo hujui, soma sheria nimeiweka chini, PYUMBAVVVV...
   
 7. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimeuliza kwa sababu kuna jamaa yangu tulikuwa tunafanya nae aka shift kampuni,kaenda leo kwa maelezo yake amesema kunauwezekano wa kupata pesa,then ataendelea na contribution .
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haya sio maoni utoe jinsi unavyoona wewe,bali ni kutoa jibu sahihi lisilo na shaka,Swali lake jibu ni ndio unaweza kutoa pesa basii haliitaji kuanza kusema unavyoona wewe,jifunze bro au umesahau maswali ya history? Discuss/Explain/Describe?
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Unajua haya mambo yenu ya oohh rafiki yangu kafanya hivi ohh huyu kafanya vile ndo yanawaponza!

  Narudia tena hauwezi kupta hela yako kabla ya kufikia unri wa kustaafu!! kuna exceptions chache kama ajali kazini au ulemavu.

  Nenda Overview kadownload sheria iliyounda NSSF.

  najua Watanzania hawana mazoea ya kusoma ngoja kikuwekee vipande muhimu

  Hizo ndo category za benefits wanazolipa, hakuna "Nimeacha kazi, nataka changu!" Pia angalia

  Kwa kifupi hauwezi kulipwa UNLESS umefikia umri wa kustaafu!  Haya ni mambo ya common sense jamani, kama kila mtu anaweza kutoa hela yake wakati wowote anapojisikia Social Security itafanyaje kazi??
   
 10. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Kunautaratibu unaotumika ili kuchukuwa fedha zako,hao wanaolazimisha mawazo yao yawe fainal hawana uhakika wa wanachokiandika.Mtu ukiwa unakwenda masomoni unapeleka admission form pamoja na barua yakuacha kazi ndani ya mwezi utakuwa umeipata,kwa kuacha au kufukuzwa kazi utaratibu wa miezi 6 unatumika kama mdau mmoja hapa alivyoeleza.Jamani masuala ya msingi usiingize mtazamo au fununu bali uhakika ni muhimu mimi ninawatu kibao ninao wafahamu kwa utaratibu huu wamepata chao nawala si kwa rushwa.
   
 11. MANI

  MANI Platinum Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,411
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu inategemea wewe tu kama unataka kuendeleza ile michango lakini kama umeacha kazi na umri wa kustaafu bado barua ya kuacha/kuachishwa inakufanya uchukue pesa yako.
   
 12. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  Wrong! sio lazima mpaka kustaafu.. Ukiacha kazi unaruhusiwa kuchukua mafao yako na inabidi usubiri six months baada ya kuacha kazi ndio unaweza kudai stahiki zako.., Unaweza pia kuchukua stahiki zako mapema zaidi ya miezi sita kama umeacha kazi sababu ya shule na unahitaji stahiki zako ili kukuwezesha kulipa ada au mambo mengine yanayohusiana na shule(ofcourse U need documents to support this).
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Nimeiweka sheria husika, anayedai vinginevyo tafadhali naomba atuonyeshe kipengele husika.
   
 14. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hao NSSF kama ukiacha kazi huwezi kupewa mshiko wako siyo pazuri. PPF nililamba change ndani ya mwezi 1 tu!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. LuCKNOVICH

  LuCKNOVICH Senior Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ngoja nicheze dili tawajuza na mkwanja lazima nichukue ndani ya wiki na michango itaendelea tena,siwezi acha pesa ambayo haina interest hadi niwe kama -Kingunge
   
 16. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nimefanya kazi miaka mitano, nimepata shule kujiendeleza na nimechukua hela yangu yote NSSF Arusha. Inawezekana kuchukua mafao yako kabla kujafikia umri wa kustaafu provided umeacha au umeachishwa kazi au kama utaamua kubadili shirika mf. ukihama toka NSSF kwenda PPF.
   
 17. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160

  Chonde Mkuu
   
 18. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Unaweza kabisa kuchukua mafao yako ya NSSF hata kama hujaacha kazi, cha msingi tu kama sehemu unayofanyia kazi wafanyakazi wapo NSSF na wengine PPF wewe omba kubadilisha mfuko wa hifadhi kutoka NSSF kwenda PPF ukishafanya hivo hela zako za NSSF unachukua bila tatizo sisi hapa kazini ndo mtindo unaotumika hapa kazini though sijafahamu kama unapewa hela yako kabla ya miezi sita au baada ya miezi sita lakni uwezekano wa kuchukua ela yako kabla ya kustaafu, kuresign au kuachishwa kazi upo ndugu yangu
   
 19. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ni kweli hii njia ndo salama zaidi, sisi pia tulidai NSSf wakorofi wanachukua muda mrefu na tunataka kubadili, HR akatuandikia wote barua za kuachishwa kazi na tukakaa miezi sita tukalipwa mafao yetu. tulipokabidhi tu barua NSSF tulianza kupelekewa PPF, kwakweli hizi akiba zinakaa tu hazina faida na hii inflation ndio kabisa,
  ushauri wangu upate baraka ya ofisi husika sio uache kazi.

   
 20. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mimi nimehama office, nikahamia ppf, nikachukua mpunga wangu Nssf baada ya miezi sita, hapa nimepata kazi sehemu nyingine next month ntarudi nssf na mpunga wangu ntauchukua ppf (baada ya miezi miwili) ukiwa na akili huwezi kuweka fedha huko kwa mafisadi wanazichezea.

  nilichukua mafao yangu milion 10 mwaka juzi nikanunua kiwanja (shamba) sasa hivi nimelikata viwanja nauhakika wa kupata milion 50 je ningeziacha huko nssf zingekuwa sh ngapi kama siyo hiyo m 10???
   
Loading...