Swali kwa Pasco na waosha vinywa wengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa Pasco na waosha vinywa wengine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Massenberg, Feb 13, 2012.

 1. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,163
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  Wapo watu humu, akiwemo mtajwa hapo juu, ambao wanampigia debe na kumng'ang'ania Lowassa kama luba wakiwa na uhakika wa asilimia zaidi ya mia moja kuwa 2015 ndiye atakayechukua uongozi wa nchi.
  Ikizingatiwa kuwa huyu bingwa ndiye mwenyekiti asiye rasmi wa CCM ya leo na kwamba kwa kiasi kikubwa nchi inaendeshwa kwa utashi wake, swali ni hili:
  Je, watu woooooooote walio upande wake ndani ya CCM na wengine wa pembeni pembeni tunaowasikia humu wameemuandaa nani kama mbadala wa Lowassa iwapo anakufa KABLA hajaionja pepo ya Magogoni, na je, huo unaweza kuwa mwisho wa CCM ya leo?
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Uhai wa hii thread nina mashaka nao sana! Nitarudi baadaye na comments
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,805
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Swali zuri ila usitangulize kufa. Katika kambi zote lazima kuwe na plan A na B. Plan A ikishindwa unatumia plan B
   
 4. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hilo la kufa linafanya tuone ugumu kuchangia hii mada.
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,041
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mwenyekiti wa ccm sasa ni Jay Kei, Membe, Migiro na Riz!
  kama akifa Edo ni mapenzi ya Maulana! ila kama hatakufa yeye ndo mwenye uwezo wa kusahihisha madudu ya Mtalii from Msoga
   
 6. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimepotea.??

  Nimeingia cha kike??
   
 7. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Unashangaza sana, utasemaje Lowassa atasahihisha madudu ya mkweree wakati yeye Lowassa ndio amefanya madudu mengi sana alipokuwa serikalini? Madudu ya Lowassa ndio madudu ya mkweree and vice versa!! Lowassa is carrying such a big load of baggage that will incapacitate him from rational decision making if he ever became the head of state [ GOD FORBID]and the country will be worse off than now.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,119
  Likes Received: 3,967
  Trophy Points: 280
  Nimeingia cha kiume.
   
 9. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ngoja Pasco akirudi huko alipokwenda kuchukuwa bahasha za kaki atakuja na jibu.
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Tena cha Mafisadi, angalia wasikubake maccm
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,429
  Likes Received: 2,674
  Trophy Points: 280

  Hili nalo laweza kuwa swali la GT? kuwa watu kwa sababu wanampenda Slaa eti akifa mbadala wake atakuwa nani? unaweka matokeo ya kifo kwa sababu gani?? kuwa watu wajadili 'kama akifa EL"?? Tuaneze kujadili yasiyokuwepo? wont this be another abunuwas?

  au akifa kama utakavyo, kikomo cha upendo kinakoma na watu hawapendi tena? je unawaza mkeo akifa leo nani utamwoa??

  Pia kumbe akina Pasco wameishajiaminisha kuwa EL ni rais kwa asilimia 100%?? sasa kama ni hivyo si BASI WANA UWEZO WA KUZUIA KIFO??

  Personally Lowassa hawezi kuwa rais, wala hao mnaowataja kila siku..Rais yupo ametulia. Jina lake mtaanza kulisikia just 9 months before election..he will be supported by everyone including you! kama unaamini kifo, amini kuwa huyo mtu yupo? yes ...UTOPIA!
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,997
  Likes Received: 12,518
  Trophy Points: 280
  Kuwa kichaa sio mpaka uokote makopo!.
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,997
  Likes Received: 12,518
  Trophy Points: 280
  Mkuu Waberoya, humu jf zaidi ya hate preachers, pia tunao lots of prophets of doom!. Wengine mimi nawaona kama vichaa tuu na huwa siwajibu!. Next time ukikutana na thread utumbo za aina hii usiwaste your time kuijibu. Mimi niliipotezea hii thread since day one na nimekuja humu kwa sababu yako.

  Mimi napigania Lowassa awe mgombea wa CCM wanao read in between the lines walinielewa, wengine kama hawa ndio hivyo tena, can't help them!.
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nilikusoma vizuri kipindi cha yule "hutaki unaacha"

  na hiyo hapo juu,ni moja ya thread pathetic of all JF Time...!
   
 15. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Aisee !! Hata mimi niliipotezea hii thread from day one, lakini baada ya kuona umekiri kumpigania mkubwa, sasa itabidi nianze kuifuatilia!
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,311
  Likes Received: 1,593
  Trophy Points: 280
  Kukiri udhaifu nako ni uungwana....kutokana na hilo let me declare kwamba kumbe am not Greaest Thinker manake nimeshindwa kabisa kuelewa mada!!!
   
Loading...