Swali kwa mkuu STUNTER

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Mkuu STUNTER habari yako!

Mkuu unanipa wakati mgumu kukuelewa haswa pale napoona nyuzi zako.

Asilimia 100 ya nyuzi zako zinahusu papuchi, migegedo, na mademu.

Swali langu kwako mkuu, imekuaje mpaka imefikia hatua nyuzi zako zote zikawa zimejikita kwenye mienenendo hiyo?
 
Mapenzi ndiyo kila kituuu......
...hata rammy ongala aliimba........

Bila mapenzi hakuna raha!!!!!
 
Sio wote, wengine wanaleta mada kwa shida maalumu.... lakini huyu mvulana anachangamsha kijiwe cha mbege.
Ok kila mtu na tafsiri yake.

Kwangu jamaa kaamua kujikita huko na anajua anachofanya. Na usikute sio mvulana ni mwanamme kabisa. Kama watu watakavyokufasiri wewe au mimi kuwa ni wazee kumbe sio wazee au ni vijana wadogo kumbe sio.
 
Back
Top Bottom