KISANTILITEDI
Member
- Dec 31, 2009
- 96
- 27
Hawa Chadema hawaja komaa kisiasa, bado wengi wao wamemaliza masomo karibuni hwana experience ya kazi ya aina yoyote, kuanzia Mchungaji wao Slaa (Experience ya mahubiri kanisani)
Mbowe Work (experience DJ mbowe night club)
Uchakachuaji wa kura ulianza zamani na vyama vilivyo komaa walipambana na ccm miaka yote ambay wao chadema walikuwa wanjipendekeza
Jaribu kujiuliza uchaguzi wa 2005, mbowe alikuwa wa kwanza na wa tz wote walilaani kitendo chake, je uchakachuaji umeanza 2010 ??
Bull amekiri kuwa anasumbuliwa na ukabila na udini. Kwa hiyo mweke kwenye kundi la ignore list.Helloo are u sleeping...!!!!!!!!!? dreaming.....!!!!!? fisadi family....? less brainy....? are u.... blind to the truth how madudu meeeeeengi ya nchi yetu yanayofanywa...? watu wengine, this hypocrisy itatufikisha pabaya, think.......!!! think...........!!!!!!! u take & talk things sooo lightly kwenye masuala ya msingi, badilika tunakupenda
Hawa Chadema hawaja komaa kisiasa, bado wengi wao wamemaliza masomo karibuni hwana experience ya kazi ya aina yoyote, kuanzia Mchungaji wao Slaa (Experience ya mahubiri kanisani)
Mbowe Work (experience DJ mbowe night club)
Uchakachuaji wa kura ulianza zamani na vyama vilivyo komaa walipambana na ccm miaka yote ambay wao chadema walikuwa wanjipendekeza
Jaribu kujiuliza uchaguzi wa 2005, mbowe alikuwa wa kwanza na wa tz wote walilaani kitendo chake, je uchakachuaji umeanza 2010 ??
umejibu nilivyokuwa nataka, je kwanini viongozi wantumia nguvu kubwa hivyokudai kitabu (katiba) badala ya maendeleo ya wa tz...waangalie wasipoteze hiyo peoplse power na kitabu wasikipate. cha msingi wapiganie maendeleo na peopes power ikiwa nyuma yao itakuwa jambo la neeema sana..kwwanza noona sasa ivi chadema walalilie mazingira mazuri ya biashara, fursa sawa za elimu na mengine mengi katiba waje waibadilishe pindi watakapopata madaraka maana sasa ivi hata cccm wakibadilisha katiba haitakuwa kama chadema wanavyotaka, na je chadema ikiwa madarakani itageuza katiba kama wanayoidai sasa ivi? mimi naona kukimbia bungeni siyo muhimu kama kujenga ushawishi bungeni na kubadilishia hiyo katiba huko huko bungeni....chadema sasa tufanye kweli...tusiwe washabiki tuwe watu wakutafakari na kutenda yaliyo sahihikitabu kile kisingesidia chochote! peoples........................ power ! ingefanya kazi,kwani kwenye majimbo waliyokuwa
wanagoma kutoa matokeo,halafu kumbe chadema wameshinda,maana yake nini? si ndo huko unakokuita kugoma
kuacha madaraka,lakini nini kilifanya kazi,unaposikia peoples power bwana usifanye mchezo,ogopa!