Swali kwa mababa wa kambo

Swali kwa mababa wa kambo

Kuna wamama wana watoto zaidi ya 7 ila unakuta jina la mtoto mmoja ndio linachukua nafasi kwa Mama yao kuitwa Mama fulani,

Sio kwamba jina huchaguliwa ili aitwe Mama nani,jina huja automatic tu na kuzoeleka,

Anaweza kuitwa Mama fulani kwa jina la mtoto wake wa kwanza,wa mwisho au wakatikati.
 
Alooo ipo namna single mom alikufanya kitu kibaya sana😂😂😂
Hujamaliza ya kwenye ule uzi umekuja mbio mbio kuanzisha mwengine,
Angalia wanaume wenzio wenye hela walivyokujibu kistaarabu, kama nakuona unavyowaita masimp huko uliko🤓🤣🤣🤣
 
Kwa namna swali lilivyoulizwa, wewe utamwitaje?
 
Nitamwita wife,

Kwani ni lazima nimwite Mama fulani?

Halafu wanaume tunaojielewa hua hatuna pigo za kuwabagua watoto wa kambo,watoto ni malaika,they are innocent,

Kama umeoa single maza basi mpende na mtoto wake,ukipenda boga,penda na ua lake,

Halafu hapo mtoto anakua mbali na Baba yake,so wewe ndio unatakiwa umpe ule upendo wa Baba ili asiwe mnyonge,hata Mungu atakubariki,roho mbaya haijengi,

Nimekujibu hivyo coz swali lako limekaa kiubaguzi kwa kushindanisha mtoto wa kuzaa na mtoto wa kambo,

All children deserve a childhood free from discrimination based on race, gender, ability, religion, or social status.
 
Maelezo mengi sana wakati swali fupi.

Mwanaume kujielezea sana ni dalili ya udhaifu
 
Jamiiforums is an open forum,JF ni kama Shule,hayo maelezo yangu sio lazima uyaelewe wewe au uyakubali wewe,bali wapo watakaojifunza jambo hapo,na ndio lengo langu kuu kwenye hayo maelezo.
Next time ukikutana na swali lenga pale ambapo unatakiwa kueleza tu. Ukiongeza "halafu" itaonekana kuna upuuzi unataka kuuhalalisha
 
Mwanaume kujielezea sana ni dalili ya udhaifu
Udhaifu unao wewe,yani Mwanaume mzima badala ya kuwaza vitu vya maana,eti unawaza umwite mkeo kwa jina la mtoto wako au jina la mtoto aliyezaa za mwingine!

Nafikiri umeumia sana kwa jinsi swali lako la kipumbavu lilivyopokelewa na wanaume wanaoijtambua,

Get out and get a life mzee,acha kuwaza vitu useless.
 
Next time ukikutana na swali lenga pale ambapo unatakiwa kueleza tu. Ukiongeza "halafu" itaonekana kuna upuuzi unataka kuuhalalisha
Wewe pimbi huna mamlaka ya kuwapangia watu humu jinsi ya kujibu hoja au kujibu swali,

Tafuta kazi yakufanya,Mwanaume kuwaza eti mkeo umwite kwa jina la mtoto gani,ni matumizi mabaya ya akili na muda,don't waste your time aisee.
 
Udhaifu unao wewe,yani Mwanaume mzima badala ya kuwaza vitu vya maana,eti unawaza umwite mkeo kwa jina la mtoto wako au jina la mtoto aliyezaa za mwingine!

Nafikiri umeumia sana kwa jinsi swali lako la kipumbavu lilivyopokelewa na wanaume wanaoijtambua,

Get out and get a life mzee,acha kuwaza vitu useless.
Mwanaume kujieleza sana ni dalili ya udhaifu
 
Alooo ipo namna single mom alikufanya kitu kibaya sana😂😂😂
Hujamaliza ya kwenye ule uzi umekuja mbio mbio kuanzisha mwengine,
Angalia wanaume wenzio wenye hela walivyokujibu kistaarabu, kama nakuona unavyowaita masimp huko uliko🤓🤣🤣🤣
Mwanaume aliyekamilika as a Gentleman hawezi kuanzisha uzi wa namna hii na kuuliza swali la aina hii,
Wanaume hua hawawazi vitu cheap kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom