Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Hivi vitu Lizzy inatakiwa u relax, hata usimfikirie hata kidogo - in the process tutapata tu a perfect shem. Pia kuna option ya kunitembelea nikuandalie dinner mana huby ana marafi ambao bado wako single na wana pontetial....
Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Dah sasa bibie huyo Mr. Right wangu mpaka ajue nilipo anifuate ntakua nimeshazeeka hata ''duties'' za ndoa siwezi tena!!Ila ngoja nitulie labda nisilodhani litakua!!
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaa na mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.
Lizzy we jikalie hivo hivo msela,who knows inawezekana ukawa better off kuliko hao walioolewa.Ila kama huna mtoto tafuta hata kama utazaana mme wa mtu ili mradi uwe na uwezo wa kumlea mwenyewe.
Unasemaje???,
kwa nini unamshauri kwa mume wa mtu??,
Ni nini lengo lako Bishanga??,
Ndoa za kaka,wadogo,dada zako unazitakia mema kweli??
NYUMBA KUBWA, ASHA D,
NYAMAYAO, je mmemsikia BISHANGA???,
mimi simwelewi kabisa na huu ushauri wake?,
Najisikia kizunguzungu ghafla..... Manake bishanga anaruhusu jiwe lirushwe kwenye umati wa watu wengi, hata sijui litatua wapi...kwangu? au kwenu wenzangu?