Swali kwa Gwajima: Tuendelee kula malimao?

Swali kwa Gwajima: Tuendelee kula malimao?

Sijui gwajima alikula maharage ya wapi,..alikuwa kama mtoto mdogo anayevikwa pampasi,Gwajima umeaibishaaaa
 
Hawa me nawapa mbadala....

Wanaweza wakatumia hii chombo hapa, inaitwa Mbilimbi 11737873_1110297562318537_1247204416511694772_n.jpg
 
"Asiyemtaka Lowassa akale malimao!" Hicho ndicho alichosema Gwajima alipokuwa kwenye mkutano wa Lowasa Arusha. Nadhani sasa imefikia zamu yake kuanza kufakamia malimao na ndimu!

Jamani naomba hiyo tenda ya ku-supply hayo malimao na ndimu.
 
Hoja za mruka maji wa kawe parkers ni sawa akiliza popo kuweka matako juu na kuanza kujisaidia. Alitegemea haya mabasi
 
Alikuwa kundi la Dr. Slaa, baadae katimkia team Lowassa na hata kutoa maneno ambayo yaliwakera watu wengi sana. "Asiyempenda Lowassa Akale Ndimu" ndio maneno yenyewe. Sasa CCM ya Kitengo cha Riz1 imemkataa Lowassa, Je hawa wote watakula ndimu? Gwajima uso wako utauficha wapi ?
 
Mleta uzi atakuwa shekhee ponda kwa uchochozi,hivi uchaguzi mkuu umeshaisha??
 
Jamani gwajima sio askofu huyo ni muhuni kama wahuni wengine tu.kwenye kila mapumbavu humkosi gwajima alafu mnamwita askofu kwa lipi mtu anayenyang'anya wake za watu anawezaje kuwa askofu.
 
Alikuwa kundi la Dr. Slaa, baadae katimkia team Lowassa na hata kutoa maneno ambayo yaliwakera watu wengi sana. "Asiyempenda Lowassa Akale Ndimu" ndio maneno yenyewe. Sasa CCM ya Kitengo cha Riz1 imemkataa Lowassa, Je hawa wote watakula ndimu? Gwajima uso wako utauficha wapi ?
Tunza akiba ya maneno, huoni Slaa na El bado wana nafasi ya kufanya kazi pamoja wakiamua.
 
Alikuwa kundi la Dr. Slaa, baadae katimkia team Lowassa na hata kutoa maneno ambayo yaliwakera watu wengi sana. "Asiyempenda Lowassa Akale Ndimu" ndio maneno yenyewe. Sasa CCM ya Kitengo cha Riz1 imemkataa Lowassa, Je hawa wote watakula ndimu? Gwajima uso wako utauficha wapi ?

Ndo marafiki zake hao CDM na Lowassa eti anakaribishwa jukwaa la CDM, hivi CDM hii imekuwakuwaje mbona hovyo sana? huyu mwehu na scandal zake kweli mnaweza kumwita mwenzenu na anavyoharibu ndoa za watu na matamshi kama mwimba taarabu, Gwajima ni kuhadi sana wa maovu hapa duniani
 
Jamani gwajima sio askofu huyo ni muhuni kama wahuni wengine tu.kwenye kila mapumbavu humkosi gwajima alafu mnamwita askofu kwa lipi mtu anayenyang'anya wake za watu anawezaje kuwa askofu.[/QUOT
Ni muhuni alafu CDM wako naye na hata pale kawe walimkaribisha jukwaani ..wahuni wameanza kuigeuza CDM taratiibu na mwisho wa siku IPO siku chama kitakuwa mikononi mwa walanguzi na watu wachafu kwenye jamii ..aibu sana huku mtaani.
 
Back
Top Bottom