sumer
JF-Expert Member
- Oct 29, 2016
- 344
- 229
Jaman ninatembo crd yani visa card ya CRDB bank,ila sikuwahi kuitumia kwa manunuzi ya online ila nimejaribu kununua kitu online nikakutana nakitu kilichonikwamisha na ni access code na account number kwa yeyote aliye wahi kukutana na tatizo hili na akalitatua naomba msaada wengine sisi vichwa panzi kuuliza si ujinga.