Swali kwa BAVICHA: Kati ya Joshua Nassari na John Shibuda kauli ipi inastahili karipio?

TZ tukiwa na watu 10 kama hawa kudili nao ni kazi sana...... Just imajine haya ndiyo mawazo yake... Haelewi hata mazingira ambayo Nasari ametoa yale maneno na Shibuda...

1. Nasari alikuwa kwenye mkutano wa CDM... na akasahihishwa na M/Kiti taifa Mh. Mbowe.....
2. Nasari alikuwa anashinikiza ili serikali iwashughulikie wanaCCM wanaochinja watu wa Arumeru na Polisi ambao hawataki kuwachukulia hatua.
3. Shibuda anadhalilisha chama kwa kusema hakuna Chama cha Upinzani kitakachishika Madaraka TZ.. Kitu ambacho ni kinyume na katiba ya CDM, Kuwadharau viongozi wa Upinzani wote..

Mie takujibu hivi.

Kwani Katiba ya Chadema inasema cha cha upinzani ndio kinashika madaraka? Hivi Chadema kama wanachukuwa nchi leo, miongoni mwa mawaziri watakaopewa wizara ni hawa kina Lema, Nassari, kwa kauli zao za kuropoka tu bila kupima mambo watatupeleka wapi?
 
Na aliyeropoka kuwa wafanyakazi ni mbayumbayu kura zao sisitaki katoka cdm? , chengeni hoja nchi hii ni yetu sote tuache propaganda,,,,, Hakuna chama chenye hati miliki ya nchi bali kwa ridhaa ya wananchi
 
Wanabodi.

Hivi karibuni tumesiki kauli tofauti kutoka kwa wabunge wawili wa Chadema kauli ya kwanza tulimsikia Mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari.

Nassari alisema wanataka Kanda ya Kaskazini ijitenge ili kuunda taifa lao nje ya Taifa la Tanzania.

Chadema itakapotawala na kujitangazia Jamhuri ya Kaskazini, wabunge kama Mchungaji Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi, Saidi Arfi, Zitto Kabwe, Salvatory Machemuli. Na wengine watakuwa wabunge wa Jamhuri ipi?

Shibuda alisema anataka kugombea Urais kupitia Chadema mwaka 2015 baada ya kusema hayo Bavicha walitoka tamko kali dhidi ya Shibuda, kupinga kauli yake ya kugombea Urais. cha ajabu Bavicha ilikaa kimya haikumgusa Nassari.

Bavicha inaunga mkono ama inakubaliana na kauli ya Nassari kutaka mikoa ya Kaskazini ijitenge, ijinyofoe na kutoka kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wananchi tulinganishe kati ya kauli ya Nassari na kauli ya Shibuda ni ipi inastahili karipio kutoka kwa Bavicha.

Ndugu yangu hauna jipya? umekosa pakushika mpaka umeamua kushikila ya Nasary tokea yatokee hadi sasa? tupe current News. lakini sikushangai kwa sababu magamba awana jipya ndo maana tunataka ipishe CDM waje na mapya.

NIKUKUMBUSHE
1) Hakusema kazikazini peke yake, alitaja toka mwanza, mbeya, shinyanga, arusha na moshi na mingineyo
2) Baada ya kusema Mh. Mboye aliyafuta maneno hayo pale pale jukwaani na kusema sio kauli ya CDM na akasema CDM itawaunganisha watanzania wote ilikupata ukombozi wa kweli.

Sasa BAVICHA wangerudia nini wakati Mwenyekiti alisha sawasisha yote.
 
Mie takujibu hivi.

Kwani Katiba ya Chadema inasema cha cha upinzani ndio kinashika madaraka? Hivi Chadema kama wanachukuwa nchi leo, miongoni mwa mawaziri watakaopewa wizara ni hawa kina Lema, Nassari, kwa kauli zao za kuropoka tu bila kupima mambo watatupeleka wapi?
vipi kuhusu mliowapa uwaziri MRAMBA,MAIGE,NGEREJA,NUNDU,MKULO,KARAMAGI,MSABAHA,.... Wametufikisha wapi?
 
Ndugu yangu hauna jipya? umekosa pakushika mpaka umeamua kushikila ya Nasary tokea yatokee hadi sasa? tupe current News. lakini sikushangai kwa sababu magamba awana jipya ndo maana tunataka ipishe CDM waje na mapya.

NIKUKUMBUSHE
1) Hakusema kazikazini peke yake, alitaja toka mwanza, mbeya, shinyanga, arusha na moshi na mingineyo
2) Baada ya kusema Mh. Mboye aliyafuta maneno hayo pale pale jukwaani na kusema sio kauli ya CDM na akasema CDM itawaunganisha watanzania wote ilikupata ukombozi wa kweli.

Sasa BAVICHA wangerudia nini wakati Mwenyekiti alisha sawasisha yote.

Nikukumbushe na mie hivi Rais wa Meru anaweza kuongoza mpaka Mwanza na Mbeya?

Chadema kupitia mbunge wao Nassari walikuwa wanatupa jiwe mtoni na kupima kina cha maji, walitaka kuona Watanzania katika ujmla wao wanapokeaje kauli hiyo.

Lakini watu wenye akili timamu na walio makini wanaelewa fika kwamba Chadema walikuwa na mpango gani.
 
Swali kwa ritz..
Kati ya kumvua mtandio Bi. Fatma na Kuchoma makanisa kipi kinastahili karipio?
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi.

Hivi karibuni tumesiki kauli tofauti kutoka kwa wabunge wawili wa Chadema kauli ya kwanza tulimsikia Mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari.

Nassari alisema wanataka Kanda ya Kaskazini ijitenge ili kuunda taifa lao nje ya Taifa la Tanzania.

Chadema itakapotawala na kujitangazia Jamhuri ya Kaskazini, wabunge kama Mchungaji Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi, Saidi Arfi, Zitto Kabwe, Salvatory Machemuli. Na wengine watakuwa wabunge wa Jamhuri ipi?

Shibuda alisema anataka kugombea Urais kupitia Chadema mwaka 2015 baada ya kusema hayo Bavicha walitoka tamko kali dhidi ya Shibuda, kupinga kauli yake ya kugombea Urais. cha ajabu Bavicha ilikaa kimya haikumgusa Nassari.

Bavicha inaunga mkono ama inakubaliana na kauli ya Nassari kutaka mikoa ya Kaskazini ijitenge, ijinyofoe na kutoka kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wananchi tulinganishe kati ya kauli ya Nassari na kauli ya Shibuda ni ipi inastahili karipio kutoka kwa Bavicha.

Hata kama wewe ni mpenzi wa CCM, usipende kuwajengea chuki wenzako.
Jishughulishe kukijengea chama chako kuliko haya unayofanya!

Ukiona mwenzako anafanikiwa, mwache aendele ili na wewe ubarikiwe!
Ukitaka kumrudisha chini Mungu atakurudisha wewe chini zaidi.

Ondoa hofu, CDM wakichukua madaraka, hautakufa, utaendelea kuwa mtanzania
Usimwombee jirani yako afe, siku ukiwa na shida atakusaidia.

Mimi siombei CCM yenu ife, ila washindwe kwenye uchaguzi ujao ili mjifunze!
Ili siku nyingine mkipewa madaraka msilewe na kusahau wananchi.
Maana mmewasahau wanyonge.
 
wewe mi kwenye mkutano wa arusha nilikuwepo na nasari hakumaanisha unavyofikiri wewe kama ujui uliza tutakuelewesha pili cdm hatujachukizwa na shibuda kugombea urais tatizo lake kwani akatangaze kwenye nec ya ccm na pili kwani aseme meneja kampeni wake atakuwa kikwete?
 
mie takujibu hivi.

Kwani katiba ya chadema inasema cha cha upinzani ndio kinashika madaraka? Hivi chadema kama wanachukuwa nchi leo, miongoni mwa mawaziri watakaopewa wizara ni hawa kina lema, nassari, kwa kauli zao za kuropoka tu bila kupima mambo watatupeleka wapi?
wewe na mafisadi wako ndio mnaropoka waache hawa wanaotupigania nsisi wakiwa ambao hatuna hata mlo mmoja kwa siku kuliko hawa mafisadi waliuza nchi yetu kwa makaburu shame apon you!
 
hivi magufuli aliposema kule igunga mkichagua wapinzani serikali haitaleta maendeleo mbona huyo nape hakukemea...?je kutoa kauli kama hiyo sio ya kibaguzi..?......mpaka nasari aongee...ndo magamba wapate point ya kuzungumza...?
 
Wanabodi.

Hivi karibuni tumesiki kauli tofauti kutoka kwa wabunge wawili wa Chadema kauli ya kwanza tulimsikia Mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari.

Nassari alisema wanataka Kanda ya Kaskazini ijitenge ili kuunda taifa lao nje ya Taifa la Tanzania.

Chadema itakapotawala na kujitangazia Jamhuri ya Kaskazini, wabunge kama Mchungaji Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi, Saidi Arfi, Zitto Kabwe, Salvatory Machemuli. Na wengine watakuwa wabunge wa Jamhuri ipi?

Shibuda alisema anataka kugombea Urais kupitia Chadema mwaka 2015 baada ya kusema hayo Bavicha walitoka tamko kali dhidi ya Shibuda, kupinga kauli yake ya kugombea Urais. cha ajabu Bavicha ilikaa kimya haikumgusa Nassari.

Bavicha inaunga mkono ama inakubaliana na kauli ya Nassari kutaka mikoa ya Kaskazini ijitenge, ijinyofoe na kutoka kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wananchi tulinganishe kati ya kauli ya Nassari na kauli ya Shibuda ni ipi inastahili karipio kutoka kwa Bavicha.

Tuanze na Lowasa Vs Serkali,Nape vs Maige, JK vs Wananch,Sita vs Serikali n.k.Wewe mchafu hujaoga wiki zima harafu unamcheka asiyenawa mkono, wapi na wapi?
 
Ukilinganisha na kauli ya ritz1kwenye kikna vijana wa pwani kuwa 'raisjajae hatotoka kaskazini' ka nafasi yakekama mtoto wa rais ujem
 
nilichogundua ni kwamba ritz anahasira baada ya viongoz wa magamba kubainika kua walihusika na kifo cha kamanda wetu mbwambo..thats why anamshambulia nassari sabab ile kauli aliyoitoa pale chadema square(NMC-ARUSHA) ndio imechangia kwa nafasi kubwa kukamatwa kwa hao wauwaji.
 
Mleta mada ni legelege, ni mmojawapo wa wale wavivu watu waliozoea vya kunyonga, watu waliozoea kutumikiwa na wao kula kupiga domo na kulala, sasa waliposikia kuna kujitenga wame changanyikiwa, la msingi ni kwamba kila mtu, kila kijiji bara mpaka pwani hadi visiwani ni kwamba muda wa kufanyiwa kazi na nyie mnaosha kucha then tunagawana mapato sawa kwa sawa huo muda umekwisha. Fikishia msg magamba wenzio
 
wewe mi kwenye mkutano wa arusha nilikuwepo na nasari hakumaanisha unavyofikiri wewe kama ujui uliza tutakuelewesha pili cdm hatujachukizwa na shibuda kugombea urais tatizo lake kwani akatangaze kwenye nec ya ccm na pili kwani aseme meneja kampeni wake atakuwa kikwete?
mkuu kwani hapa kuna kifunga cha katiba amekiuka !
 
Back
Top Bottom