Swali kwa BAVICHA: Kati ya Joshua Nassari na John Shibuda kauli ipi inastahili karipio? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali kwa BAVICHA: Kati ya Joshua Nassari na John Shibuda kauli ipi inastahili karipio?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ritz, May 31, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wanabodi.

  Hivi karibuni tumesiki kauli tofauti kutoka kwa wabunge wawili wa Chadema kauli ya kwanza tulimsikia Mbunge Arumeru Mashariki Joshua Nassari.

  Nassari alisema wanataka Kanda ya Kaskazini ijitenge ili kuunda taifa lao nje ya Taifa la Tanzania.

  Chadema itakapotawala na kujitangazia Jamhuri ya Kaskazini, wabunge kama Mchungaji Peter Msigwa, Joseph Mbilinyi, Saidi Arfi, Zitto Kabwe, Salvatory Machemuli. Na wengine watakuwa wabunge wa Jamhuri ipi?

  Shibuda alisema anataka kugombea Urais kupitia Chadema mwaka 2015 baada ya kusema hayo Bavicha walitoka tamko kali dhidi ya Shibuda, kupinga kauli yake ya kugombea Urais. cha ajabu Bavicha ilikaa kimya haikumgusa Nassari.

  Bavicha inaunga mkono ama inakubaliana na kauli ya Nassari kutaka mikoa ya Kaskazini ijitenge, ijinyofoe na kutoka kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

  Wananchi tulinganishe kati ya kauli ya Nassari na kauli ya Shibuda ni ipi inastahili karipio kutoka kwa Bavicha.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Huna jipya Ritz,umekosa propaganda ya utoke vp baada ya ile ya ukaskazini kupotezwa na uliyoyaona kusini.WEWE NA NAPE NI WAZANDIKI.
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wapi nassari alisema kanda ya kaskazini inajitoa kwenye jamhuri ya muungano?
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Kuna Watanzania wako kama ndege KASUKU na wewe ni moja wapo, Mimi katika ule mkutano wa ARUSH nilikuwepo sasa nashangaa baadhi ya KASUKU wamekaririshwa na kukariri kweli, Nasar alitaja mikoa mingi sasa cha ajabu ni ile ya kanda ya ziwa kuondolewa na kubakiza ya kaskazini, Mbona ya Mwanza, Shinyanga na Mara mmeitoa? ni kwa nini? na kwa nini mmeacha ya Arusha pekee?

  Kwenye zile thread za watu buku 3 kuvua gamba huonekani unaingia kama guest, ila unasubiria uje na negative thread humu, wewe unazani walio vua gamba huko mtwara hawajasikia hiyo story ya Nasar? WATANZANIA WA LEO SIO KAMA WALE WA ZEE WALIO BAKIA WANZILSIHI WA TAA NA TANU NA ASP wale ndo unaweza wapelekea porojo hizi

  Mwisho mkuu mimi nawashauri muje humu na thread za kuonyesha mazuri ya CCM na muwe manjitahidi kutetea hizo thread zenu, tafuta hata newa nzuri za kuhusu CCM na post huku na anza kuzitetea hapo utakuwa unasaidia chama chako, Make sasa hivi nyie na wakina William Malechela mnakuja na thread negativu tu humu zidi ya CHADEMA, mbona watu wa CHADEMA wao wanakuja na thread za kusifia CDM? kwa nini nyie msije na za kusifia chama chenu? NAANZA KUKUBALIANA NA MANENO YA MAIGE, NYIE NA WAKINA NAPE MKO KATKA PROGRAM YA KUZIKA NYINYIEMU YENU
   
 5. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,613
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Ritz kwani mumesitisha zoezi la kulipua makanisa huko zenji?
   
 6. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwanza kamulize Nape ajibu hoja zifuatazo
  - Je yeye ni mwanachama halali wa CCM?na kama jibu ni ndio tunaomba alete document muhimu hapa jamvin kwakua hoja hii iliibukia hapahapa jamvini
  - Je nape anaweza akauzibitishia umma juu ya kile anacho kisema Maige?pamoja kuwa maipe anaweza kutokua msafi?
  Ukimaliza hapo,njoo ulekebishe kauli ya nassari nazani umeichakachua,alafu uitofautishe na kauli ya shibuda ambyo tatizo ni kuisemea ndani ya kikao cha Ccm
   
 7. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kauli zinazohitaji makaripio ni hizi hapa, kwa kuwa zimewekwa kwa ajil ya ulaj wa wachache na kuwaacha wananch wakihenyeka katika umasikin wakutisha, maisha bora kwa kila m-tz, kilimo kwanza, mkukuta, tumethubutu, tumeweza na tunazd kusonga mbele..........
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  cha ajabu tangia Nasari aseme hivyo ndo watu wanazidi kujivua gamba pande zote za nchi,
   
 9. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 2,158
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 160
  Nassaari aliongea ujinga wa wazi wazi lakini mwenyekiti haraka akajitokeza kunusuru kauli hiyo isifike mbali na kuleta picha mbaya.hakuna mantiki kwa bavicha kuitolea tamko kauli ambayo mwenyekiti kashaisemea.huo ni utovu wa nidhamu unaoiua ccm kwa kasi
   
 10. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ritz,

  CDM ni chama makini sana, Joshua nassari alipotoa kauli ile haikuhitaji vikao kujua kuwa kuna makosa katika lile. mwenyekiti alilikanusha pale pale na kutoa msimamo wa chama na pia Nassari mwenyewe alilitolea ufafanuzi. Kipi ambacho ulitaka wafanye zaidi ya kile kilichofanyika??? Au ulitaka wamvue uanachama ndo URIDHIKE??
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Chadema kupitia Mbunge wao Nassari walikuwa wanatupa jiwe mtoni na kupima kina cha maji, walitaka kuona Watanzania katika ujmla wao wanaipokeaje kauli ya Nassari.
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  MARQ.
  Kauli ya Nassari ni ya uhaini na ya hatari sana kwa haiba ya Chadema, ilipasa Bavicha waikane na NEC ya Chadema ikemee, lakini ilikaa kimya, leo inamjia juu Shibuda, hii ni ishara za undumilakuwili ndani ya chama hicho.
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  ritz kiboko yenu nyie ni maige tuu!
   
 14. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chezea siasa wewe test nje ya chama sio ndani ya chama.Kama kujaribu urijali ndani ya familia yako au nje ya familia yako jibu unalo
   
 15. B

  Benaire JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwa sasa nadhani sio Kauli tu...... kwa sababu Nassari aliongea tu na ikaishia hapo....Lakini hawa JUMIKI hawaongei wanafanya kweli tena kwa nguvu na ujasiri kama serikali haipo.
  HILI NDIO LINAHITAJI KARIPIO KALI.
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ritz, Kauli ya Nassari ilisahihishwa pale pale na Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndiye msemaji mkuu wa CHAMA. Hivyo kumbukumbu ziko sawa, na sielewi ni kwanini hawa spinnning masters hawataki kuunganisha kauli rasmi ya chama kama ilivyotolewa na mwenyekiti- Mh Freeman Mbowe.

  It does not help hata chembe kwa ccm kuendelea kupiga kelele kwa mambo ambayo tayari yameshatolewa ufafanuzi.

  About Shibuda
  Kwa mtazamo wangu, Shibuda anaiabisha CCM (sio CHADEMA). Ni hivi, CCM walimtosa, lakini sasa wanamtumia kufundisha kazi wakuu wa wilaya! Kwa qualiity zipi? Tunaambiwa CCM wana wananchama milioni 5, hivi hakuna mtu mjuzi kati yao zaidi ya hii 'reject'? Na kama CCM inamtegemea mtu wa level ya Shibuda kwenye shughuli zake, what does that say about the party (CCM)?
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kwa nini lakini Shibuda anasakamwa sana kama sababu ya kuogea na Rais Kikwete, mbona Antony Komu alipoamua kugombea ubunge wa Afrika ya Mashariki, aliwaendea wabunge wa CCM na kukutana nao na kuwaomba kura zao na inasemekana na takrima alitoa.
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kati ya mbowe na heche nani zaidi cdm? jibu ni wazi hivyo bavicha walikuwa hawana la kusema baada ya mwenyekiti wao kutamka.
   
 19. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  TZ tukiwa na watu 10 kama hawa kudili nao ni kazi sana...... Just imajine haya ndiyo mawazo yake... Haelewi hata mazingira ambayo Nasari ametoa yale maneno na Shibuda...

  1. Nasari alikuwa kwenye mkutano wa CDM... na akasahihishwa na M/Kiti taifa Mh. Mbowe.....
  2. Nasari alikuwa anashinikiza ili serikali iwashughulikie wanaCCM wanaochinja watu wa Arumeru na Polisi ambao hawataki kuwachukulia hatua.
  3. Shibuda anadhalilisha chama kwa kusema hakuna Chama cha Upinzani kitakachishika Madaraka TZ.. Kitu ambacho ni kinyume na katiba ya CDM, Kuwadharau viongozi wa Upinzani wote..
   
 20. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Shibuda ndie anayestahili karipio kali kwa kuzingatia sehemu anayotoka Tanzania.
   
Loading...