Swali kuhusu wahenga

Swali kuhusu wahenga

Before ugunduzi wa condoms wahenga walikuwa wanatumia nini?
Dogo kama ni kuhusu Ukimwi, tambua fika huo ugonjwa umeingia nchini miaka ya 1980's! Na kuhusu hizi condom zenu mnazojivunia nazo; Kibongo bongo, zimeanza kuwa maarufu miaka ya 1990's na 2000 tu. Sijui kwa huko Mamtoni.

Kwa hiyo jibu jepesi ni hili hapa! Kabla ya ugunduzi wa condoms, sisi wahenga wenu tulikuwa tunaenda tu kavu kavu! Yaani tulicheza mechi zetu pasipo kuvaa soksi! Na hata sasa bado tunaendelea na utaratibu wetu wa zamani. Kuhusu magono na makisonono, ni mara chache sana tuliambukizwa na wageni kutoka mjini.
 
Wahenga hakutumia maana magonjwa yenu hayakuwepo...

Yaani ninyi namba D mmetengeneza magonjwa na mmejitafutia suluhu... Kwahiyo ulimwengu wenu katu hauwezi, abadani kufanana na ulimwengu wa namba C kushuka chini
 
ILA UTI ILIKUWAPO YA KUTOSHA TUUU
 
Ashukuriwe Mungu hakukuwa na HIV zaidi ya kisonono na Kaswende ambazo zilikuwa zinatibika

Kwahiyo ilikuwa ni kula vijana wanaita "Dry" tu🤪 🏃
Aisee siku hizi tunapima mimba tu baada ya hapo ni humo kwa humo tu samahani kwa lugha isiyo na staa mkuu ndo sisi vijana tulivyo😁
 
Ashukuriwe Mungu hakukuwa na HIV zaidi ya kisonono na Kaswende ambazo zilikuwa zinatibika

Kwahiyo ilikuwa ni kula vijana wanaita "Dry" tu🤪 🏃
Umeshindikana we mzee na ulienda wapi?😂

Sema nimekumiss babu🤭
 
Kondom ilikuwepo kabla ya HIV, ilikuwa inatumika kujilinda na Gono, Kaswende na uzazi wa mpango.
Hata hivyo ilipata umaarufu mkubwa baada janga la ukimwi kuipiga Afrka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom