Swali kuhusu tiketi zitolewazo na shirika la reli Tanzania

Jastin madoi

New Member
Jan 8, 2024
1
1
Binafsi Mimi ni mdau na mtumiaji mzuri sana wa usafiri wa Treni hasa kupitia RELI ya kati itokayo DSM kuelekea Kigoma lakini kinachonishangaza nipale abiria anapokaribia kufika mwisho wa safari Huwa tiketi yake inachukuliwa na wale wakaguzi swali langu ni kwamba Ile tiketi ni Mali ya nani kati ya abiria na TRC?
 
Binafsi Mimi ni mdau na mtumiaji mzuri sana wa usafiri Treni hasa kupitia RELI ya kati itokayo DSM kuelekea kigoma lakini kinachonishangaza nipale abiria anapokarinia kufika mwisho wa safari Huwa tiketi yake inachukuliwa na wale wakaguzi swali langu ni kwamba Ile tiketi ni Malia ya nani kati ya abiria na TRC ? Hide my name
Acha uongo, mbona mimi hawajawahi kuchukua na ninapanda mara nyingi. Wanachukua tiketi kwenye zile commuter train(treni za mjini) ili mtu asije akapanda tena na tena zinachanwa
 
Back
Top Bottom