Swali kuhusu mtoto

Hahhaa!!
Owkey ni mfupi hivi...meno matatu mbele hamna!!Anapepeseka japo anatumia mkongojo alafu ni mwembamba kuliko mnazi!!!
khaaa! ilikuwaje ukatongozwa na huyu marehemu to be? Lizzy kwa kuzoa maoza oza bana!
 
Sharobaro maana yake ni msichana anayeshinda kujiremba kwenye kioo muda wote, hii ni Arabic dictionary. kuna umuhimu wa kutenga JF TEENAGARS
 
Habari

Naomba msaada juu ya HILI.

Eti mfano wewe umehangaika kupata mtoto muda mrefu sana na hatimaye.. mungu ameamua kukupa mtoto ila akakwambia uchague kati ya haya

1)Akupe mtoto mwema ambaye ni mchamungu na mtiifu ila ataishi kwa miaka ishirini tu atamchukua yaani atafariki.

2)Akupe mtoto mtukutu,asiyependa dini na asiye na maadili yoyote kwa kifupi msumbufu, ila ataishi kwa miaka mingi duniani

Je ungekuwa wewe ungechagua yupi kati ya hao wawili?!!

NAOMBA JIBU SERIOUSLY.
THANK YOU

Kama Mungu amekuwa hivyo naacha kumchagua yeyote.
 
Bonge la mshirikina, umeenda kwa Sangoma, wamekupa maswali ya kipepo, unakuja hapa kutuuliza maswali ya giza. Potea kama huna kazi za kufanya. Ati Mungu, Mungu gani huyo? Mungu wa kweli hao wote kwake ni watoto na anawapenda sana anawaangazia jua lake kila siku sawa sawa.
 
Habari

Naomba msaada juu ya HILI.

Eti mfano wewe umehangaika kupata mtoto muda mrefu sana na hatimaye.. mungu ameamua kukupa mtoto ila akakwambia uchague kati ya haya

1)Akupe mtoto mwema ambaye ni mchamungu na mtiifu ila ataishi kwa miaka ishirini tu atamchukua yaani atafariki.

2)Akupe mtoto mtukutu,asiyependa dini na asiye na maadili yoyote kwa kifupi msumbufu, ila ataishi kwa miaka mingi duniani

Je ungekuwa wewe ungechagua yupi kati ya hao wawili?!!

NAOMBA JIBU SERIOUSLY.
THANK YOU

Kweli wewe sharobalo.
 
Ok sawa kabisa naamini hata kuto kujibu na kwenyewe ni jibu!!!

mmetoa kashfa kibao bila hata kujua nia ya swali...Hili swali tuliulizwa kanisani wengi walijibu majibu yao na majibu kama yenu yalikuwepo

Nikamuuliza mchungaji nini maana ya majibu hayo? akasema

1)UKICHAGUA JIBU LA KWAMBA UPATE MTOTO MZURI ILA AFE IN 20's inamaana kuwa
-wewe ni muuuaji
-Unapenda rahaa tu bila kupitia majaribu
-u r so selfish,unajifikiria mwenyewe tu

2)UKICHAGUA KUWA UMPATE ALIYE MTUKUTU maana yake ni
-Kwanza si muuaji
-upo tayari kujaribiwa
-unakubaliana na matakwa ya mungu na matakwa yako.

ok, kwa walio sema teenager au sijui jero ya internet cafe,mara nenda skuli dah!! wake up guys
Si lazima kujibu..Ni vizuri kufunga bakuli lako.

thats it!!
 
Kama ulikuwa na majibu tayari umeuliza ili iweje? mji2 mingine bana!
 
Mungu hawezi mpa mtu mtoto mtukutu, labda sema ulienda kwa mganga au shetani
 
Hii ni joke sio story/issue, i think hapa sio mahala pake! Bt kwa leo nachangia, "Mungu hawezikua na maamuzi ya kishetani, NENDA KWA MGANGA"!
 
Back
Top Bottom