Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932
- Ningependa kujua kuwa baada ya kuanzishwa mfumo wa digitali wa TV, wanaotumia ving'amuzi wanalipia fedha zaidi ili kuweza kuangalia tv au channel zinapatikana bure? Kama ni bure, ni zipi ambazo zinaonekana?
- Kwa wale wenye st. dishes, je na wao wanalipia ada yoyote au wanaangalia bila kulipia
- Je ukiwa umenunua tv ambayo imeshajengewa king'amuzi tayari, unaweza kuona channel zozote?