Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
Nashukuru ndugu kwa kunijulisha, first edition na mm ninayo , nlkua naulza km Kuna uwezkano wa kununua soft copy, Basi nkipata hela na Pc nitafanya mchakato ,
Wauzaji wa vitabu huangalia vile ambovyo hutumiwa zaidi na wengi, vinauzika kwa haraka. Kumbuka wanafanya biashara kwa kuangalia soko linataka nini zaidi, ili wapate faida.