Swali kuhusu ko-post picha mitandaoni!

terrat

JF-Expert Member
May 6, 2015
204
98
Wana jamvi poleni Na mihangaiko ya siku.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeona niulize hili swali nipate mawazo tofauti ambayo yatanijenga kwa namna moja au nyingine!
Kuna mitazamo tofauti tofauti ya watu juu ya swala la ku-post picha mitandaoni, Instagram, Facebook Na mingine,
Sasa je ..
Ni ushamba kupost picha?
Na je ni ulimbukeni?
Natanguliza shukrani wakuu!
 
Kila mtu yuko huru ili mradi HAVUNJI SHERIA ZA NCHI wala kuingilia UHURU WA MTU MWINGINE
 
Mimi mwenyewe inanisumbua, siwezi kuweka picha
Picha ni muhimu sana kupost mtandaoni maana itakusaidia kutunza kumbukumbu, sasa shida ndio hiyo kwamba utaonekana mshamba, limbukeni Na mvamizi wa jiji au mitandao
 
kila mtandao una maana na dhumuni lake..mfano instagra ni "A simple, fun & creative way to capture, edit & share photos, videos & messages with friends & family"...kifupi ni wewe kuangalia tamaduni,mila na desturi pia utashi wako unaendana na picha unazo post?..ushamba ni tafsiri binafsi ya mtu ilihali ujavunja sheria..
 
Habari bila picha haionogi wacha nijazilizie
19050880_1287595908005002_4553435369856565248_n.jpg
IMG-20170612-WA0015.jpg
 
Wana jamvi poleni Na mihangaiko ya siku.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeona niulize hili swali nipate mawazo tofauti ambayo yatanijenga kwa namna moja au nyingine!
Kuna mitazamo tofauti tofauti ya watu juu ya swala la ku-post picha mitandaoni, Instagram, Facebook Na mingine,
Sasa je ..
Ni ushamba kupost picha?
Na je ni ulimbukeni?
Natanguliza shukrani wakuu!
inawezekana sio MTU wa mitupio
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom