Grand Canyon JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 547 Reaction score 1,193 Aug 14, 2020 #1 Mwezi mmoja Una wiki 4, na kila wiki Ina siku 7. Hivyo 7*4=28, Sasa basi siku 30 au 31 kwa mwezi hutoka wapi? Karibuni wanasayansi
Mwezi mmoja Una wiki 4, na kila wiki Ina siku 7. Hivyo 7*4=28, Sasa basi siku 30 au 31 kwa mwezi hutoka wapi? Karibuni wanasayansi
MrConveter JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,291 Reaction score 2,368 Aug 14, 2020 #2 Salaam, Tunasema ni wiki nne (4) kwa maana siku mbili au tatu zilizosalia kukamilisha 30 au 31 days hazitimizi hata nusu ya siku saba (7) za wiki. Kimahesabu ingeandikwa 4.2~3 hivi kama sikosei. Mfano kwenye hesabu za desimali 4.6-9 tunaikadiria kuwa 5, ila 4.1-5 bado tunaikadiria kuwa ni 4. Niko tayari kusahihishwa.
Salaam, Tunasema ni wiki nne (4) kwa maana siku mbili au tatu zilizosalia kukamilisha 30 au 31 days hazitimizi hata nusu ya siku saba (7) za wiki. Kimahesabu ingeandikwa 4.2~3 hivi kama sikosei. Mfano kwenye hesabu za desimali 4.6-9 tunaikadiria kuwa 5, ila 4.1-5 bado tunaikadiria kuwa ni 4. Niko tayari kusahihishwa.