Ndiyo, inawezekana. Kuna watu wamepangiwa mikoa ambayo hawajafanyia oral interview hasa wale ambao mwajiri ni Wizara ya Afya.
Lakini naona kwa hawa wa Halmashauri ambazo ndizo zinazotoka kwa sasa wengi wamepangiwa kwenye Halmashauri za mkoa ambao walifanyia oral interview.