Swali kuhs ratba ya interview accountant PCCB

Swali kuhs ratba ya interview accountant PCCB

nackyb7

New Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Jamani kwny majina ya walochaguliwa kwaajili ya interview PCCB mbona cjaona ratiba ya accountant wanafanya lini, saa ngap na wap? Coz pale meona ratba ya investigation officer na asstant wake tu.plz anayefaham
 
kwani we uliomba nafasi ipi kama sio investigation officer inayohusisha course zote hizo hapo mdau embu rejea tangazo la kazi kama unalo
 
Kuna watu wanachekesha humu!! Inawezekana vipi uombe nafasi ya kazi kisha ushindwe kujua siku yako ya usaili, yaani wewe umeshafeli usaili!!! Watu waliosoma akaunti wapo sehemu mbili, sehemu ya kwanza wapo pale ktk investigation officer, pili wapo wanajitegemea ambao wamepewa jina la assistant accountants, sasa cjui unahitaji wapi?!!
 
kwani we uliomba nafasi ipi kama sio investigation officer inayohusisha course zote hizo hapo mdau embu rejea tangazo la kazi kama unalo

Thanx for yr concern mefatilua nmepata jibu.
 
Kuna watu wanachekesha humu!! Inawezekana vipi uombe nafasi ya kazi kisha ushindwe kujua siku yako ya usaili, yaani wewe umeshafeli usaili!!! Watu waliosoma akaunti wapo sehemu mbili, sehemu ya kwanza wapo pale ktk investigation officer, pili wapo wanajitegemea ambao wamepewa jina la assistant accountants, sasa cjui unahitaji wapi?!!

Kuomba kaz na kujua siku ya usaili ni vitu viwili tofauti.amka kijana, mtu akiomba msaada kama iko ndan ya uwezo wako msaidie if nt kaa pemben upshe mtu anayeweza asaidie.
 
sasa ulikuwaje shortlisted wakati hujui hata cku yako ya usahili!?! au ww ndo wale watoto wa kigogo wanaobebwagwa bebwaga??..pccb wametoa maelezo na yote yamejitosheleza..
 
Wasikukwaze bure mdogoangu,nenda pta hall ijumaa tar 17 hiyo,huku hawa jamaa wana vyeo mbili tu,mchunguzi(graduates wa degree na adv/dipl) na mchunguzi msaidizi (diploma,certificate,form 6,4 hata std 7) so utajua position yako kulingana na elimu yako uwe asbh-6 mch au mchana.kila la kheri.
 
Back
Top Bottom