Swali, kero za muungano zimeisha?

Swali, kero za muungano zimeisha?

Benjamini Netanyahu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
102,676
Reaction score
126,848
Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote?

Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu?

Kama zimetatuliwa zote hongera kwa serikali. Asanteni
 
Hakuna muungano tena zaidi ya jina.. Zanzibar imebaki na jina na mamlaka yake kamili.. Tanganyika haijulikani iko wapi wala mamlaka yake ni ipi
 
Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote?
Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu?
Kama zimetatuliwa zote hongera kwa serikali. Asanteni
Soma huu uzi

Bado zipo. Nakerwa sana nikiona hawa wala Urojo wakipewa vyeo huku Tanganyika
 
Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote?

Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu?

Kama zimetatuliwa zote hongera kwa serikali. Asanteni
Hujasikia kwasababu husikii. Ulizia ya OMO na Jussa. Pia pitia mabandiko humu JF. Ni kweli kuna watu wana macho lkn hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. Lakini nikuulize si hivi punde tulikuwa tunajadili Mimi na wewe kuhusu hilo? Inaelekea sasa umekosa la kufanya.
 
Back
Top Bottom