CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL
yap ni kweli , Y chromosomes maximum survival hours is about 13 hrz but X chromosome up to 48 hrz , so upon ejaculation of sperms once the Y chromosome fertilize the ovum a boy would grow up in the mothers uterus , but if upon ejaculation of sperms no ovum was along the fallopian tubes the Y chromosome will die out after the 13 hrz because the sperms do swim to the fallopian tubes ambazo ziko connected to the ovaries. asa kama ejaculation ilifanyika jana afu ovum halikuwepo Y chromosome itakufa ila X chromosomes zenyewe hudumu kwa muda wa masaa 48 hivyo hata kama ovum haikutoka jana , ikatoka leo X chromosome itasubiri hapo kwenye fallopian tube(mlango wa uzazi) ikitoka mambo yanajipa ka zygote kanakuwa formed yani ndo mimba inatungwa hapo , asa ndo maana watoto wasichana wanazaliwa kwa wingi ni suala zima la timing hapo , ila nadhani na hizi chips yai ,vyuku inafanya wanaume wa produce strong sperms huenda ikawa hivyo.
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa COS
wakat mwanaume anafika kwny peak hutoa mbegu aina 2 yan X & Y yan X ni female na Y ni male.mbegu Y obvious ni dhaifu na huweza kufa haraka kuliko X. ndo maana wanawake ni weng kuliko wanaume. pili,ukiwaweka m-mme na m-mke bila chakula kwa cku kadhaa m-mme atakufa haraka kabla ya m-mke.JE KUNA UKWELI KTK HIL
I think so, na mara nyingi mtu dhaifu hutumia nguvu nyingi kuprove otherwise; na hii kitu tunaiona sana kwa physical abusive husbands!
Yeah, zipo sababu nyingi za kibaiolojia zinazodhibitisha madai hayo, kwa kawaida wanawake huwa na umri mrefu ukilinganisha na wanaume.
Lakini huenda ngoma ikawa droo kwa sababu taasisi ya ndoa huwaweka wanawake wengi katika mazingira ya kufa mapema kwa msongo wa mawazo kwa sababu baadhi yao huishi katika ndoa ngumu na hawafurukuti kutoka humo hata kama kifo kipo mbele yao dhahiri.....................
I think so, na mara nyingi mtu dhaifu hutumia nguvu nyingi kuprove otherwise; na hii kitu tunaiona sana kwa physical abusive husbands!
Ngoja nijifiche maana charm anafichua mambo ambayo watu hatupendi kuyasiki pamoja ni ya ukweli.
Kumbeeee ndio maana JK ni dhaifu!!!!!!!!!!!!!