mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
lakini si ndio ukweli wenyewe, muongo hutumia nguvu ya ziada kuprove 'ukweli wake' au?
na kuna mtu alisema wachovu kitandani ndio wanaokuwa na videmu vingi nje, just to prove he is ......!
sababu siyo udhaifu bana, hao physical abuse husbands wana-take advantage ya masculinity yao
Ila hiyo hapo kwa red nashindwa kuliamini au kulikataa kwa sababu motivation ya kutoka nje ya ndoa inasababishwa na factors kibao, and can be one or a combination of such factors