With private jetHaha kumwitwa mwanaume mwenzako mwanaume maana yake ni kakuzidi kila kitu
Hiyo picha inaeleza Mengi unaona li Prof lilivyo comfortable kama hajaiba vile na bega kashikwa
Magufuli Kiswahili hajui kwa hiyo hata kuchambua anachosemani kazi bure.Nimepitia social media mbalimbali naona watu wanabeza kauli ya Rais ya JPM aliposema " hawa wanaume wamekuja kutafuta suluhu ya huu mgogoro". Naona watu wanasema eti Wezi wanasifiwa kuwa ni " wanaume".
Sasa najiuliza kwani wale wazungu walioenda ikulu walikuwa ni wanawake?
Hebu tutazame picha hiyo vizuri mwanamke yupo wapi hapo?
View attachment 524006
Hoja za facebook zinashusha hadhi ya jfHaha kumwitwa mwanaume mwenzako mwanaume maana yake ni kakuzidi kila kitu
Hiyo picha inaeleza Mengi unaona li Prof lilivyo comfortable kama hajaiba vile na bega kashikwa
Mimi kunishika hivyo ni kunidhalilisha yaaniHaha kumwitwa mwanaume mwenzako mwanaume maana yake ni kakuzidi kila kitu
Hiyo picha inaeleza Mengi unaona li Prof lilivyo comfortable kama hajaiba vile na bega kashikwa
Nimejibu swali usinipangie cha kusema,..Facebook unajua inamwingizia Mark dola ngapi?Hoja za facebook zinashusha hadhi ya jf
Kabla hawajaja ikulu usiku wa kuamikia Leo Daud Bashite kakesha na kamati za Ufundi akiwalegeza kauli zao anaamini kuwa Daud Bashite anamkunda kwa ubayaAlafu Raisi nae awe anakumbuka kitu kimoja, kumshika shika mtu katika sehemu ya mwili wake sio utamaduni wa kila mtu/jamii na yeye pia asipende kushikwa shikwa maana dunia ya leo sio kabisa aisee unaweza achiwa vimelea hapo hapo ikawa kasheshe
Hoja gani unataka? Alisema wazungu ni Wezi lakini cha ajabu kaamua kuongea na mwizi ikulu.wamekosa hoja sasa kilichobaki ni mipasho na vimaneno vya kike kike
Upinzani bongo bado sana!!!jamani siasa hii sio taarabu
Hapo amemaanisha nyinyi mab.we.ge mnaoropokaropoka bila kujua lolote ni kama wanawake tu,sa mwenye Mali ambaye amempa sifa ya UANAUME kama lugha zetu za mtaani tulivyozoea na mh rais kasema hivyo, pia sifa ya mwanaume kukubali muafaka hata mkigombana sa ajabu nini!?Rudia kusoma nilichokiandika kisha usome pia ulicho comment.
Ndugu yetu Tanzagiza sijui yupo wapi du!Kabla hawajaja ikulu usiku wa kuamikia Leo Daud Bashite kakesha na kamati za Ufundi akiwalegeza kauli zao anaamini kuwa Daud Bashite anamkunda kwa ubaya
Wote mpaka kufika 2020 Bashite atakuwa na waganga wa kienyeji wasiopungua 200.