SWALI: Hivi wale wazungu wa Barrick Gold mine waliokwenda Ikulu walikuwa ni wanawake?

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,596
3,639
Nimepitia social media mbalimbali naona watu wanabeza kauli ya Rais ya JPM aliposema " hawa wanaume wamekuja kutafuta suluhu ya huu mgogoro". Naona watu wanasema eti Wezi wanasifiwa kuwa ni " wanaume".
Sasa najiuliza kwani wale wazungu walioenda ikulu walikuwa ni wanawake?
Hebu tutazame picha hiyo vizuri mwanamke yupo wapi hapo?
imageKgwl.jpg
 
View attachment 524006
Magufuli Kiswahili hajui kwa hiyo hata kuchambua anachosemani kazi bure.

Ukiwa Mombasa au Lamu ukamuita mwanamme mwenzako kwa sifa uanaume wake tunaanza kukuwekea shaka uanaume wako.
 
Alafu Raisi nae awe anakumbuka kitu kimoja, kumshika shika mtu katika sehemu ya mwili wake sio utamaduni wa kila mtu/jamii na yeye pia asipende kushikwa shikwa maana dunia ya leo sio kabisa aisee unaweza achiwa vimelea hapo hapo ikawa kasheshe
 
Kabla hawajaja ikulu usiku wa kuamikia Leo Daud Bashite kakesha na kamati za Ufundi akiwalegeza kauli zao anaamini kuwa Daud Bashite anamkunda kwa ubaya
Wote mpaka kufika 2020 Bashite atakuwa na waganga wa kienyeji wasiopungua 200.
 
Rudia kusoma nilichokiandika kisha usome pia ulicho comment.
Hapo amemaanisha nyinyi mab.we.ge mnaoropokaropoka bila kujua lolote ni kama wanawake tu,sa mwenye Mali ambaye amempa sifa ya UANAUME kama lugha zetu za mtaani tulivyozoea na mh rais kasema hivyo, pia sifa ya mwanaume kukubali muafaka hata mkigombana sa ajabu nini!?
 
Kabla hawajaja ikulu usiku wa kuamikia Leo Daud Bashite kakesha na kamati za Ufundi akiwalegeza kauli zao anaamini kuwa Daud Bashite anamkunda kwa ubaya
Wote mpaka kufika 2020 Bashite atakuwa na waganga wa kienyeji wasiopungua 200.
Ndugu yetu Tanzagiza sijui yupo wapi du!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom