goldie ink JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 5,634 Reaction score 9,153 Nov 22, 2016 #61 Jibu ni rahisi. Kama simba au duma wanaoaa porini na wanyama wenzao na wanawala Je? Kwanini samaki akiwa majini asinywe Maji wakati anaishi majini............. Jibu ni ndio samaki wanakunywa maji.
Jibu ni rahisi. Kama simba au duma wanaoaa porini na wanyama wenzao na wanawala Je? Kwanini samaki akiwa majini asinywe Maji wakati anaishi majini............. Jibu ni ndio samaki wanakunywa maji.
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,807 Reaction score 47,412 Nov 22, 2016 #63 R.I.P
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,118 Nov 22, 2016 #64 mkuu we si ulitangazwa umekufa? imekuaje tena au huko kaburini siku hizi network haisumbui mbui
T tanzanite miner JF-Expert Member Joined Feb 2, 2016 Posts 257 Reaction score 172 Nov 23, 2016 #65 puppa said: navuta oxygen,kwahiyo unataka kuniambia samaki anavuta maji? Click to expand... Anapata maji kupitia vyakula anavyokula.. Jibu ni kuwa,HANYWI.
puppa said: navuta oxygen,kwahiyo unataka kuniambia samaki anavuta maji? Click to expand... Anapata maji kupitia vyakula anavyokula.. Jibu ni kuwa,HANYWI.