Swali: Hivi samaki wanakunywa maji?

*Samaki haongei wala hacheki sababu maji yatamuingia mdomoni atakufa [emoji1]

*Samaki anapokuwa ndani ya maji hajitambui anajiona kama yupo nchi kavu pale uwanja wa taifa anakimbia kimbia mpk akichoka na kupata kiu NDIO anakunywa maji.
 
Siku ukimuona samaki amepaliwa maji,utamuonea huruma sana.
 
Hapana wananyonya hewa inay patikana kwenye maji.
 
Samaki wanywe vipi maji, kaka Ray ndio anakunywa maji.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574]
 
Wana kiu sana mkuu, tena kama kuna mradi endelevu basi uwe ni wa kuwapatia maji safi na salama.
JPM analijua hili na lipo kwenye ahadi zake.
 
Wanakunywa vitu vingine unagoogle tu
 
Bhuhahahaha thread imevamiwa na panya road [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale weupe wanakunywa km ray ila weusi hawanywi!!!
 
Maji ya nini sasa!!!!!. Kwani samaki wanatoka majasho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…