Swali: Hivi ni kweli?

ni boredom tu halafu ina happen zaid pale ambapo mmoja anapokuwa busy na mambo mengne na kuacha yale mashamsham ya kimapenzi. Ni chalenge kweli.. Nlikuja kugundua kuwa it wont help hata kidogo so i decided to talk with my girl na alinielewa na akajirekebisha.. Akanambia kuwa mazoea ndio yalifanya ajisahau. At last kila kitu kikaenda poa..nikaacha zle flirting.
 
Last edited by a moderator:

to me mwanaume akikataa kufanya tendo sounds ok as well as kwa mwanamke.
ishu ambayo mimi naiona ni ngumu ni kwa yule mwombaji kwamba kaomba kakataliwa................both ways it pains kwa mwombaji
 
Mmmh mwe Kaunga ilumbuye,kusoga kwenuko valakini? lol......................

Kupanga; zya nsiku?
Mbona umeguna tu huchangii hii issue ya mihashuo?
 
mimi mwenzenu mgeni hapa Yerusalemu....... yaani kabisa mtu unakuwa serious na flirting? ngoja niangalie foleni ingefika wapi, lol!
Hahaha. Wakat inaanza unakuwa unadhan sio serious.bt inafkia hatua sasa inakuwa too serious mpaka inatisha.
 
Hahaha. Wakat inaanza unakuwa unadhan sio serious.bt inafkia hatua sasa inakuwa too serious mpaka inatisha.
hiyo hatua ndo kama siku ngapi? miaka mingapi?......
sijawahi kuwa serious kwenye flirting aisee, na sitegemei kuwa serious
 
Sema ukweli kaka!!!
 
hiyo hatua ndo kama siku ngapi? miaka mingapi?......
sijawahi kuwa serious kwenye flirting aisee, na sitegemei kuwa serious

inategemea na mawasiliano yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…