"akaenda all the way", umekusudia kusema nini? I hope huyo "mwanamke" siye ambaye ana flirt na huyo "mwanaume"! It takes two to tangle, doesn't it?Mwanaume akiflirt kuna uwezekano mkubwa akaenda all the way; ila mwanamke akiflirt she is most of the time not serious. Riwa nafikiri hii inafanana na swali lako la SMS kwenye simu ya mwanaume na ya mwanamke. (I thought it is worth a thread)
"akaenda all the way", umekusudia kusema nini? I hope huyo "mwanamke" siye ambaye ana flirt na huyo "mwanaume"! It takes two to tangle, doesn't it?
Sio flirt zote zinaishia kitandani kwa jinsia zote
Kwani wanamme wakiflirt na kuishia kitandani wanaflirt na akina nani? si wanawake hawahawa?
So ni kwa wote tu
Kaunga ...are you trying to say that..ungekuta msga kama hiyo kwenye simu ya shemeji 'husingemind kiviiile'?
One thing I have noticed kwenye mahusino ni kuwa...mwanaume akibambwa with such msgs..he is cheating! Hata asemeje haaminiki, hata kama mdada atasemehe atakuwa amesamehe huku akimini mpenzie kacheat. BUT...mwanamke akibambwa na similar msgs...basi sio ushahidi tosha, kuna explaination behind it...!!!???
You are right hapo kwenye bold, na sijui ni kwanini. Imagine the way ninavyotaniana na kuflirt na watu humu ndani, ninajiamini lakini nikiona hata robo ninayoyaandika mimi kaandika mtu wangu kwa mdada tayari napata wasiwasi na simuamini amini sijui kwa nini? Is it because inaaminika kuwa mwanaume kushinda vishawishi ni ngumu kuliko sisi; je mdada akiflirt halafu akakutokezea wazi can you be able to say NO maana sisi wanawake kusema no ni rahisi na hatutadhaniwa kuwa tuko weak au hatuko wazima kama ninyi?
Mfano mimi naflirt na wewe, au hata najiongozesha. Ukiwa tayari kuridhia mtongozo wangu, bado mimi naweza chomolea na nisionekane nina tatizo.
Lakini wewe ukiflirt na mimi, mimi nikiridhia je nawe unauwezo wa kuchomolea kwa kuwa hukuwa serious? Au itabidi unigegede ili nisiseme wewe sio mzima au una kibamia au anything? I mean your ego haitakuwa damaged kwa mdada kujilengesha na wewe kumtolea nje?
je hilo neno kuflirt halina kiswahili sahihi jamani ili niielewe?nimejaribu kujieleza upya check nilivyomjibu SMU
upo lakini khabari yako! hujanimiss hata kidogo ??????????Wewe hujawahi flirt na mtu ikaishia all the way?
nimekumissije??????????upo lakini khabari yako!!huwa hunimiss hata kidogo hahaahahh usiseme nimekutongoza ni salamu tu
Jamani kwa historia ya watu 2 ambao nimeshawahi kuwa nao sijaflirt hata mmoja wao. ila wote ninaoflirt nao, inaishia kwenye flirting tu. Wewe je?
Sio flirt zote zinaishia kitandani kwa jinsia zote
Kwani wanamme wakiflirt na kuishia kitandani wanaflirt na akina nani? si wanawake hawahawa?
So ni kwa wote tu
kila siku nikuanze mimi .nisipokuanza unachuna unanpita tuHujani miss
ukini miss ungekuja kulee..lol