Wala hawana undugu wowote zaidi ya uislamu wao, kwani Mke wa rais kwao ni Lindi wakati huyu Hawa Ghasia kwao ni Mtwara kata ya Naumbu jiji cha Imekuwa.
Kumbe Ghasia anatuhumiwa kwa Dini yake na wala si kwa utendaji wake. Thanks kwa taarifa.
Salaam wanajukwaa,
Nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini (chadema) Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Bungeni akisema Mh Hawa Ghasia huwa anajibu maswali
ya Wabunge kwa kiburi na dharau. Kisa ana undugu na mke wa Rais!!!!!
Kiburi na Dharau ni KICHAKA chake cha kuficha UDHAIFU wake. She has an EMPTY HEAD! Tunafahamu toka wakati anasoma.
Wala hawana undugu wowote zaidi ya uislamu wao, kwani Mke wa rais kwao ni Lindi wakati huyu Hawa Ghasia kwao ni Mtwara kata ya Naumbu jiji cha Imekuwa.
Mtu ukishakuwa ccm uwe na akili usiwe na akili, wote mnakuwa wavivu wa kufikiri na kujawa na kiburi kisicho na msingi mkiamini mtatawala milele
Kiburi na Dharau ni KICHAKA chake cha kuficha UDHAIFU wake. She has an EMPTY HEAD! Tunafahamu toka wakati anasoma.
Kumbe Ghasia anatuhumiwa kwa Dini yake na wala si kwa utendaji wake. Thanks kwa taarifa.
Nasikia kasoma Chuo Bora Tanzania; Mzumbe University.
Weka CV zako mkuu,tuone ww uliyekuwa na akili na ulipo sasa,na mshahara wako
Na yy ambaye hakuwa na akili,alipo na mshahara wake
jamani hizi thread zingine kwa nini msizipeleke kule jokes? hata kama ni mbunge amesema haimaanishi kuwa lazima alichosema kifiti kwenye hili jukwaa. Da!Salaam wanajukwaa,
Nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini (chadema) Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Bungeni akisema Mh Hawa Ghasia huwa anajibu maswali
ya Wabunge kwa kiburi na dharau. Kisa ana undugu na mke wa Rais!!!!!
jamani hizi thread zingine kwa nini msizipeleke kule jokes? hata kama ni mbunge amesema haimaanishi kuwa lazima alichosema kifiti kwenye hili jukwaa. Da!
jamani mambo ya udini sio mazuri. hapa Tz mpaka kichafuke siku moja ndio mjue .aliyeanzisha uzi huu lazima ashangae udini wa unakujaje. Embu angalieni Afrika ya kati kinachotokea ? Lazima walianza kama hizi.
Sugu ni mjanja na yupo mjengoni.Mbona wewe hauko mjengoni kama mjanja.Kazi yamajungu kwenye mtandao tu huna loloteDIV 5 yule
Sugu ni mjanja na yupo mjengoni.Mbona wewe hauko mjengoni kama mjanja.Kazi yamajungu kwenye mtandao tu huna lolote
sawa. lakini umeshindwa kutofautisha kati ya jukwaa la wanasiasa (ni kwa ajili ya wanasiasa tu hata kama hakuna siasa) na jukwaa la siasa (kwa ajili ya siasa tu hata kama wewe siomwanasiasa).!Wote ni Wabunge na wote ni wanasiasa na hili ni jukwaa la siasa.