SWALI: Hivi ni kweli HAWA GHASIA anajibu Maswali ya Wabunge kwa KIBURI???

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
831
0
Salaam wanajukwaa,
Nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini (chadema) Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Bungeni akisema Mh Hawa Ghasia huwa anajibu maswali
ya Wabunge kwa kiburi na dharau. Kisa ana undugu na mke wa Rais!!!!!
 
ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,134
2,000
Wala hawana undugu wowote zaidi ya uislamu wao, kwani Mke wa rais kwao ni Lindi wakati huyu Hawa Ghasia kwao ni Mtwara kata ya Naumbu jiji cha Imekuwa.
 
Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,873
1,500
Salaam wanajukwaa,
Nimemsikia Mbunge wa Mbeya Mjini (chadema) Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Bungeni akisema Mh Hawa Ghasia huwa anajibu maswali
ya Wabunge kwa kiburi na dharau. Kisa ana undugu na mke wa Rais!!!!!

Kiburi na Dharau ni KICHAKA chake cha kuficha UDHAIFU wake. She has an EMPTY HEAD! Tunafahamu toka wakati anasoma.
 
Vikao vya Harusi

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
498
250
Kiburi na Dharau ni KICHAKA chake cha kuficha UDHAIFU wake. She has an EMPTY HEAD! Tunafahamu toka wakati anasoma.

Weka CV zako mkuu,tuone ww uliyekuwa na akili na ulipo sasa,na mshahara wako

Na yy ambaye hakuwa na akili,alipo na mshahara wake
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
4,244
2,000
...basi atakuwa na "undugu" na JK, si alishawahi kuishi mitaa ya huko?
soma uso huu!! kalazimishwa siasa huyu!! mnamwonea!! aliambiwa "njoo nawe ule" basi.
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,485
2,000
Mtu ukishakuwa ccm uwe na akili usiwe na akili, wote mnakuwa wavivu wa kufikiri na kujawa na kiburi kisicho na msingi mkiamini mtatawala milele
 
Bobuk

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
5,873
1,500
Weka CV zako mkuu,tuone ww uliyekuwa na akili na ulipo sasa,na mshahara wako

Na yy ambaye hakuwa na akili,alipo na mshahara wake

Wajinga ni wengi nchi hii no wonder we are HIGHLY INDEPTED POOR COUNTRY

FYI there is no association kati ya utajiri wa mtu na akili/elimu yake. Ndiyo maana Bill Gate pamoja na kuwa college dropout in billionaire mkubwa kuliko professors wa vyuo vikuu. Kwa Mfano wa Tanzania ndiyo maana Mengi ni Billionaire wakati Professor Muhongo hawezi hata kumiliki/kuendesha biashara ya genge la nyanya.

kama unataka CV yangu niPIN nikutumie halafu uone kama unaweza kunilinganisha na huyo KILAZA wako. BTW Mimi nilikuwa TA wake. Take from me ana kichwa KIGUMU KAMA NAZI.
 
bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,385
2,000
Kiburi na Dharau ni KICHAKA chake cha kuficha UDHAIFU wake. She has an EMPTY HEAD! Tunafahamu toka wakati anasoma.

Kama ni empty vipi alipenya mpaka hapo alipo ama nani yupo nyuma yake maana tokea JK akamate nchi huyo mama yeye hata wapangue wizara yeye anadunda tu,yani hata baraza la mawaziri livunjike yeye anadunda tu anajua litakaloundwa yumo.Leo alikuwa anamjibu mbunge wa Mwibara kuhusiana na walimu kupanda madaraja yaani alijibu kikawaida sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom