Heshima kwenu wanajamvi. Nimekua nikipakua Apps za androids na nyingi ili zifanyekazi zimekua zinaomba access ya vitu kama contacts, calls log history, pictures, videos, messeges, etc. Maswali yangu kwenu ni kuwa; je ukitoa hizo access faida/hatari zake ni zipi kama zipo? Ni nini umuhimu wa developers wa hizi apps kuweka hii condition ili mtu aweze kutumia apps husika? Na kutokana na wimbi la udukuzi kuwa kubwa dunian, vipi kuhusu usalama wa taarifa zangu kwenye simu?
Nawasilisha na naomba msaada wenu.
Nawasilisha na naomba msaada wenu.