Swali hili linaloulizwa mara kwa mara na wanawake huwa silipendi

Ngoja nikupe majibu ambayo yanawaachaga wanasmile
Kiukweli binadamu tamaa tumeumbiwa
Najua unajua wanawake wanaovutia wapo wengi tu
Na si kila utachotamani utakipata vingine unatamani na unaacha vipite
Mimi ni mvivu kutongoza mara zote mpaka nikutongoze maana yake nmevuka kwenye matamanio nmefikia kwenye Upendo

Ningekutamani tu nsingekutongoza sababu kama kutamani natamani wengi ntatongoza wangapi sasa

Hapo unamjibu uku unamuangalia machoni
 
Kweli wewe ni nyoka km jina lako
 
Hakuna haja ya kuchukia maswali ya wanawake maana ni jambo la kawaida kuulizwa maswali.

Ulichotakiwa ni kumjibu tu 'nimekutamani'.
Kisha atakuuliza swali lingine we si una mke wako? unataka nini kwangu?
Mjibu tu kweni wewe unapoenda kununua nguo Dukani huwa unaenda uchi?, si unakuwa nayo nyingine?.

Atajichekesha hapo kisha endelea kumkazia maneno hadi kinaeleweka.
 
Ngoja nikupe majibu ambayo yanawaachaga wanasmile
Kiukweli binadamu tamaa tumeumbiwa
Najua unajua wanawake wanaovutia wapo wengi tu
Na si kila utachotamani utakipata vingine unatamani na unaacha vipite
Mimi ni mvivu kutongoza mara zote mpaka nikutongoze maana yake nmevuka kwenye matamanio nmefikia kwenye Upendo

Ningekutamani tu nsingekutongoza sababu kama kutamani natamani wengi ntatongoza wangapi sasa

Hapo unamjibu uku unamuangalia machoni
umefuzu
 
Kuna mkaka alikuwa ananitaka
Akaniambia ukweli ametamani vitu fulani(akataja sehemu kadhaa za mwili wangu) na akaenda mbali zaidi akasema kama ikinipendeza nimruhusu awe mmiliki wa hizo sehemu

Kimsingi sio kwa ubaya,lakini binafsi huwa sipendi maoni/maswali yoyote kuhusu nilichopendewa

Huwa naona ni utoto
 
Kwahiyo huyo mkaka ulimtunuku tunda?

Au ndio unaendelea kutype tusubiri?

:cool:
 
Ngoja nikupe majibu ambayo yanawaachaga wanasmile
Kiukweli binadamu tamaa tumeumbiwa
Najua unajua wanawake wanaovutia wapo wengi tu
Na si kila utachotamani utakipata vingine unatamani na unaacha vipite
Mimi ni mvivu kutongoza mara zote mpaka nikutongoze maana yake nmevuka kwenye matamanio nmefikia kwenye Upendo

Ningekutamani tu nsingekutongoza sababu kama kutamani natamani wengi ntatongoza wangapi sasa

Hapo unamjibu uku unamuangalia machoni
Case Closed ,Boma Ye , Boma Liwanza ,You Know hahaaaa!
 
Ngoja nikupe majibu ambayo yanawaachaga wanasmile
Kiukweli binadamu tamaa tumeumbiwa
Najua unajua wanawake wanaovutia wapo wengi tu
Na si kila utachotamani utakipata vingine unatamani na unaacha vipite
Mimi ni mvivu kutongoza mara zote mpaka nikutongoze maana yake nmevuka kwenye matamanio nmefikia kwenye Upendo

Ningekutamani tu nsingekutongoza sababu kama kutamani natamani wengi ntatongoza wangapi sasa

Hapo unamjibu uku unamuangalia machoni
Mmmm 🤔,, wewe jamaa hapana kwakweli 😃🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom