Ni wahuni wanao haribu nchi yetu, Jeshi la Polisi, Mahakama , tra, ........Watanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu.Watanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
Mpendwa haki iko mbinguni. Maslahi pamoja na mamlaka ndo kila kitu. Mtihani uko kwenye mizania ya maslahi kati ya wanasiasa. Kutafuta balance angalau kila mtu apate.Watanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
Hayupo wa kuvuruga amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wachapakazi,Watanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
Hata kichaa anajua sisiem hawana nia njema na nchi hiiWatanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
Umeongea points tupu ila kuna hao wanaojiita ma CHAWA wakija hapa kitanukaWatanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
ukwel ni kwamba lissu ana agenda zake hayupo apo kwa ajili ya mageuzi wala nnWatanzania tukishapata jibu la swali hili basi taifa letu litapata mustakabari adhimu juu ya amani ya nchi yetu.
Wanaotumia dola kuhakikisha wapo madarakani na wale wanaotaka Katiba yenye manufaa kwa umma. Nani anaharibu?
Ahaa nchi hii ina wenyewe ,Wewe huna kazi ya kufanya 100%Hayupo wa kuvuruga amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wachapakazi,
kakundi ka waropokaji wachache wapiga mdomo hakuna kitu watafanya kuvuruga utulivu au usalama wa mTanzania yeyote.
Nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya kisheria na kikatiba. Mkiuka sheria na katiba ya nchi yeyote yule, atashughulikiwa vilivyo tena bila huruma na vyombo vya ulinzi na usalama, na akishakua neutralize atafikishwa kwenye vyombo vya kisheria bila kuchelewa,
Yote hayo yatafanyika kwa maslahi mapana ya waTanzania wote![]()
Gentleman,Ahaa nchi hii ina wenyewe ,Wewe huna kazi ya kufanya 100%
Watu wengi ambao wametoka familia choka mbaya na connection hawana ndio ambao wanajifanya kuijua ccm
Wewe sio mwana ccm na wala huijui ccm