Hivi watanzania mnataka mabadiliko gani?
nadhani sasa nawaelewa Raisi wa awamu ya tano Mh. Magufuli na yule wa awamu ya tatu Mh. Mkapa.
Magufuli anauliza je mabadiliko ni kuzungusha mikono?
Mkapa anasema malofa tu hamna ukombozi wowote mnaoupigania!
Katika interview ya jana na BBC mgombea naye kwa kiasi kikubwa ameonesha ukweli juu ya maneno ya Mkapa juu ya ulofa na lile swali la msingi la magufuli!
Zuhura Yunus anauliza " kuhusu suala la ufisadi umejiandaaje kupambana na tatizo hili?"
Lowasa anasema swali hili ni gumu na refu sana linahitaji muda zaidi! majibu yake mepesi kabisa ni suluhisho la one stop centre! nadhani majibu yake sio sahihi sana, lkn kama utawaita chadema wa zamani yaani CHADEMA asili wote walikuwa wanaamini katika kuondoa mianya ya rushwa ili nchi iendelee, nadhani falsafa za operation sangara na M4C tuliziendeleza kwa kufuata misingi hii! hili la zuhura lisingekuwa swali gumu kwa Slaa, kwa kuwa aliamini na alijengeka juu ya kuleta majibu ya maswali ya matatizo ya aina hii! leo chadema masalia wao wanasema ulipo tupo, hawana principle na mgombea kwa kushindwa kujibu swali hili simply anajibu kuwa anategemea mahaba zaidi kushinda uraisi kuliko kuwa na legacy.
mwache Magufuli aulize!
maana kama uchumi ktk taifa record zinaonesha Tanzania tumepanda step 5 ktk miaka 8 iliyopita, kweli kila kitu hakitoshi lakini kama kulikuwa na jambo baya lililokuwa katika tawala 2 za mwisho za ccm ni hili la kuongezeka kwa wimbi la ufisadi, sasa kama mtu hadi anataka kuwa raisi tena amejiandaa kwa miaka 20 na hana majibu ya swali hili, then wapiga kura wake wanapaswa kupimwa akili!
naomba tujibu swali la magufuli, ni mabadiliko gani mnayoyataka?