Hapo kahaba anakuwa anajua marital status ya huyo anayemegana naye au anakuwa hajui?
Manake katika mjadala wa jana na by extension huu wale ni kwamba huyo mtu wa pili anakuwa analala na huyo mwanandoa huku "akijua" kuwa huyo mwanandoa yuko kwenye ndoa.
Sasa kahaba unayenunua mtaani naye anakuwa anajua marital status ya huyo mteja ama?
Kwa kosa la kuzini hakuna akomplesi hapo, kama ilivyo kwenye uasherati. Kila mtu ni mtuhumiwa mbele za Mungu!
Kwenye kuvunja ahadi hakuna akomplesi pia, mwenye kosa ni aliyevunja ahadi; ila yule mwingine hajatenda vyema kuumiza furaha ya ndoa ya mwenzie (na hiyo inategemea moral zake kama alivyosema RR)
Umeshasali sala ya usiku??
Ulale salama na wewe!!
Babu DC!!
Ngoja nisali sasa! Kiukwelii!
Hahahahahaaa na hii weekend sidhani kama atakumbuka kumuomba lolUsisahau kumuomba malika mlizi wako, akulinde katika hatari zote za roho na za mwili...including ndoto mbaya..lol!!
Babu DC!!
Dah uko sawa mama...niombee na mimi....Ngoja nisali sasa! Kiukwelii!
RR and DC
Asanteni sana kwa michango yenu!
I like hiyo ya kumcheat mume to be. Jana Husninyo alisema yeye anajicheat mwenyewe; nami as a Catholic nafundishwa kuwa mwili wangu ni hekalu la Roho Mtakatifu, so even before thinking of mume to be; namcheat Holy Spirit!
ha ha ha, ulidhani haogopi?
Dah uko sawa mama...niombee na mimi....
Naomba uniamshe mapema asubuhi saa 12....kiukweli Kaunga
Usisahau kumuomba malaika mlizi wako, akulinde katika hatari zote za roho na za mwili...including ndoto mbaya..lol!!
Babu DC!!
Nasikia hata ukimtamani mwanamke ambaye hujamuoaKucheat ni kudanganya/kusema uongo
Kuzini ni kufanya mapenzi nje ya ndoa
Nazidi kupata mawazo tofauti sana na nilipokua naandika hii threadi!
Hahahahaaaa nimeamka aiseeee lolErick52
Wake wakeee!!!!!
Dah naona GAZETI unaibua ishu mpya hapa....Sasa mada itakuwa ngumu sana..Nasikia hata ukimtamani mwanamke ambaye hujamuoa
WAKRISTO. Bali hata yule amtazamaye mwanamke kwa kumtamani
amekwishakuzini naye moyoni mwake.
WAISLAMU: Jicho la kwanza halina kosa yaani ukiona usirudie tena
kama ni mke/ au mme mmepishana basi ukigeuka kumtazama
kwa kumtamani UMEZINI pia.
Sasa sijui wale wanaokumbatiana kwenye daladala inakuwaje maana wengine
mpaka wanaji........ eti mfadhaiko. Lakini mazingira yanasababisha hivyo maana
wengine wanakuwa na njaa ya siku nyingi.
Swali gumu kivip wewe!
kwanza chukua dictionary ya english-swahili...... cheat=danganya.
kuzini = ni kufanya ngono nje ya ndoa.
kufanya ngono kabla ya ndoa SI KUZINI bali ni uasherati. hata kama una girlfriend permanent na ukawa unacheza match za ugenini, bado hujazini, bali yote hayo ni uasherati.
NASEMAJE; KUZINI KUNAAPLY KWA WALIO KWENYE NDOA FULL STOP
Du Ndoto mbaya! Ndizo nilizoota!!! Again kiukwelii.